* add message 'searchhelp-url' to enable proper localisation for 'searchmenu'
[lhc/web/wiklou.git] / languages / messages / MessagesSw.php
1 <?php
2 /** Swahili (Kiswahili)
3 *
4 * @ingroup Language
5 * @file
6 *
7 * @author Malangali
8 * @author Marcos
9 * @author Muddyb Blast Producer
10 * @author Robert Ullmann
11 * @author לערי ריינהארט
12 */
13
14 $messages = array(
15 # User preference toggles
16 'tog-hideminor' => 'Ficha mabadilisho madogo ya hivi karibuni',
17 'tog-editsection' => 'Wezesha sehemu ya kuandikia kwa kutumia viungo vya [hariri]',
18 'tog-editsectiononrightclick' => 'Wezesha sehemu ya kuandikia kwa kubonyeza kitufe cha kulia cha puku yako juu ya sehemu ya majina husika (JavaScript)',
19 'tog-showtoc' => 'Onyesha mistari ya yaliyomo (kwa kila kurasa iliyo na zaidi ya vichwa vya habari 3)',
20 'tog-rememberpassword' => 'Kumbuka kuingia kwangu katika kompyuta hii',
21 'tog-editwidth' => 'Hariri sanduku lenye upana mzima',
22 'tog-watchcreations' => 'Weka kurasa nilizoumba katika maangalizi yangu',
23 'tog-watchdefault' => 'Weka kurasa zote nilizohariri katika maangalizi yangu',
24 'tog-watchmoves' => 'Weka kurasa zote nilizohamisha katika maangalizi yangu',
25 'tog-watchdeletion' => 'Weka kurasa zote nilizofuta katika maangalizi yangu',
26 'tog-minordefault' => 'Weka alama zote za mabadiliko madogo kama matumizi mbadala',
27 'tog-previewontop' => 'Onyesha mandhari kabla ya sanduku la kuhariria',
28 'tog-previewonfirst' => 'Onyesha mandhari mwanzoni mwa sanduku la kuhariria',
29 'tog-nocache' => 'Lemaza mabaki ya kurasa',
30 'tog-enotifwatchlistpages' => 'Nitumie barua pepe pale kurasa zilizopo katika maangalizi yangu zikibadilishwa',
31 'tog-enotifusertalkpages' => 'Nitumie barua pepe pale ukurasa wangu wa majadiliano ukiwa na mabadiliko',
32 'tog-enotifminoredits' => 'Pia nitumie barua pale kurasa za mabadiliko madogo zikiwa zimebadilishwa',
33 'tog-enotifrevealaddr' => 'Onyesha anwani ya barua pepe yangu katika barua pepe za taarifa',
34 'tog-shownumberswatching' => 'Onyesha idadi ya watumiaji waangalizi',
35 'tog-fancysig' => 'Sahihi changa (bila kijiweka kiungo yenyewe)',
36 'tog-ccmeonemails' => 'Nitumie nakala ya barua pepe nitakazo tuma kwa watumiaji wengine',
37
38 # Dates
39 'sunday' => 'Jumapili',
40 'monday' => 'Jumatatu',
41 'tuesday' => 'Jumanne',
42 'wednesday' => 'Jumatano',
43 'thursday' => 'Alhamisi',
44 'friday' => 'Ijumaa',
45 'saturday' => 'Jumamosi',
46 'sun' => 'Jpili',
47 'mon' => 'Jtatu',
48 'tue' => 'Jnne',
49 'wed' => 'Jtano',
50 'thu' => 'Alham',
51 'fri' => 'Iju',
52 'sat' => 'Jmosi',
53 'january' => 'Januari',
54 'february' => 'Februari',
55 'march' => 'Machi',
56 'april' => 'Aprili',
57 'may_long' => 'Mei',
58 'june' => 'Juni',
59 'july' => 'Julai',
60 'august' => 'Agosti',
61 'september' => 'Septemba',
62 'october' => 'Oktoba',
63 'november' => 'Novemba',
64 'december' => 'Desemba',
65 'january-gen' => 'Januari',
66 'february-gen' => 'Februari',
67 'march-gen' => 'Machi',
68 'april-gen' => 'Aprili',
69 'may-gen' => 'Mei',
70 'june-gen' => 'Juni',
71 'july-gen' => 'Julai',
72 'august-gen' => 'Agosti',
73 'september-gen' => 'Septemba',
74 'october-gen' => 'Oktoba',
75 'november-gen' => 'Novemba',
76 'december-gen' => 'Desemba',
77 'jan' => 'Jan',
78 'feb' => 'Feb',
79 'mar' => 'Machi',
80 'apr' => 'Apr',
81 'may' => 'Mei',
82 'jun' => 'Juni',
83 'jul' => 'Julai',
84 'aug' => 'Ago',
85 'sep' => 'Sep',
86 'oct' => 'Okt',
87 'nov' => 'Nov',
88 'dec' => 'Des',
89
90 # Categories related messages
91 'category_header' => 'Makala katika jamii "$1"',
92 'subcategories' => 'Vijamii',
93 'category-media-header' => 'Picha, video, na sauti katika jamii "$1"',
94 'category-empty' => "''Jamii hii haina ukurasa, picha, video, wala sauti yoyote.''",
95 'listingcontinuesabbrev' => 'endelea',
96
97 'about' => 'Kuhusu',
98 'article' => 'Makala',
99 'newwindow' => '(Itafungua kwa dirisha jipya)',
100 'cancel' => 'Batilisha',
101 'qbfind' => 'Gundua',
102 'qbedit' => 'Hariri',
103 'qbspecialpages' => 'Kurasa za pekee',
104 'mytalk' => 'Majadiliano yangu',
105 'navigation' => 'Safari',
106
107 'errorpagetitle' => 'Hitilafu',
108 'returnto' => 'Rudia $1.',
109 'tagline' => 'Kutoka {{SITENAME}}',
110 'help' => 'Msaada',
111 'search' => 'Tafuta',
112 'searchbutton' => 'Tafuta',
113 'go' => 'Nenda',
114 'searcharticle' => 'Nenda',
115 'history' => 'Historia ya ukurasa',
116 'history_short' => 'Historia',
117 'printableversion' => 'Ukarasa kwa kuchapa',
118 'permalink' => 'Kiungo cha daima',
119 'edit' => 'Hariri',
120 'create' => 'Anzisha kurasa',
121 'editthispage' => 'Hariri ukurasa huu',
122 'delete' => 'Futa',
123 'deletethispage' => 'Futa ukurasa huo',
124 'protect' => 'Linda',
125 'protectthispage' => 'Linda ukurasa huu',
126 'unprotect' => 'Usilinde',
127 'unprotectthispage' => 'Usilinde ukurasa huu',
128 'newpage' => 'Ukurasa mpya',
129 'talkpage' => 'Jadilia ukarasa huu',
130 'talkpagelinktext' => 'Majadiliano',
131 'specialpage' => 'Ukarasa maalumu',
132 'personaltools' => 'Vifaa binafsi',
133 'postcomment' => 'Weka maelezo',
134 'talk' => 'Majadiliano',
135 'views' => 'Mitazamo',
136 'toolbox' => 'Vifaa',
137 'userpage' => 'Ukurasa wa mtumiaji',
138 'otherlanguages' => 'Lugha nyingine',
139 'redirectedfrom' => '(Elekezwa kutoka $1)',
140 'redirectpagesub' => 'Elekeza ukurasa',
141 'lastmodifiedat' => 'Ukarasa huu umebadilisha mara iliyopita tarehe $1, saa $2.', # $1 date, $2 time
142 'protectedpage' => 'Kurasa iliyolindwa',
143 'jumpto' => 'Rukia:',
144 'jumptonavigation' => 'urambazaji',
145 'jumptosearch' => 'tafuta',
146
147 # All link text and link target definitions of links into project namespace that get used by other message strings, with the exception of user group pages (see grouppage) and the disambiguation template definition (see disambiguations).
148 'aboutsite' => 'Kuhusu {{SITENAME}}',
149 'aboutpage' => 'Project:Kuhusu',
150 'bugreports' => 'Simulia tatizo',
151 'bugreportspage' => 'Project:Taarifa za hitilafu',
152 'copyright' => 'Yaliyomo yafuata $1.',
153 'copyrightpage' => '{{ns:project}}:Hatimiliki',
154 'currentevents' => 'Matukio ya hivi karibuni',
155 'currentevents-url' => 'Project:Matukio ya hivi karibuni',
156 'disclaimers' => 'Kanusho',
157 'disclaimerpage' => 'Project:Kanusho kwa jumla',
158 'edithelp' => 'Usaidizi kwa uhariri',
159 'edithelppage' => 'Help:Usaidizi kwa uhariri',
160 'faq' => 'Maswali ya kawaida',
161 'helppage' => 'Help:Yaliyomo',
162 'mainpage' => 'Mwanzo',
163 'mainpage-description' => 'Mwanzo',
164 'portal' => 'Jumuia',
165 'portal-url' => 'Project:Jumuia',
166 'privacy' => 'Sera ya faragha',
167 'privacypage' => 'Project:Sera ya faragha',
168
169 'badaccess' => 'Kuna hitilafu ya ruhusa',
170 'badaccess-groups' => 'Ombi uliloomba limefikia ukingoni mwa watumiaji wa {{PLURAL:$2|the group|one of the groups}}: $1.',
171
172 'retrievedfrom' => 'Rudishwa kutoka "$1"',
173 'youhavenewmessages' => 'Una $1 ($2).',
174 'newmessageslink' => 'ujumbe mpya',
175 'newmessagesdifflink' => 'badiliko la mwisho',
176 'editsection' => 'hariri',
177 'editold' => 'hariri',
178 'editsectionhint' => 'Hariri kipande: $1',
179 'toc' => 'Yaliyomo',
180 'showtoc' => 'fichua',
181 'hidetoc' => 'ficha',
182 'site-rss-feed' => '$1 tawanyiko la RSS',
183 'site-atom-feed' => '$1 tawanyiko la Atom',
184 'page-rss-feed' => '"$1" tawanyiko la RSS',
185 'red-link-title' => '$1 (bado haujaandikwa)',
186
187 # Short words for each namespace, by default used in the namespace tab in monobook
188 'nstab-main' => 'Makala',
189 'nstab-user' => 'Ukurasa wa mtumiaji',
190 'nstab-project' => 'Ukurasa wa mradi',
191 'nstab-image' => 'Faili',
192 'nstab-template' => 'Kigezo',
193 'nstab-help' => 'Msaada',
194 'nstab-category' => 'Jamii',
195
196 # General errors
197 'error' => 'Kosa',
198 'badtitle' => 'Jina halifai',
199 'badtitletext' => 'Jina la ukurasa ulilotaka ni batilifu, tupu, au limeungwa vibaya na jina la lugha nyingine au Wiki nyingine. Labda linazo herufi moja a zaidi ambazo hazitumiki katika majina.',
200 'viewsource' => 'Tazama chanzo',
201 'viewsourcefor' => 'kwa $1',
202 'protectedpagetext' => 'Ukurasa huu umefungwa ili kuepuka uhariri.',
203 'viewsourcetext' => 'Unaweza kutazama na kuiga chanzo cha ukurasa huu:',
204 'protectedinterface' => 'Ukurasa huu unatoa maelezo ya msingi ya bidhaa pepe, na pia umefungwa ili kuzuiya uharibifu.',
205 'editinginterface' => "'''Ilani:''' Una hariri ukurasa unaotumika kutoa maelezo ya msingi ya bidhaa pepe.
206 Mabadiliko katika ukurasa huu yataathiri mwonekano mzima wa viungo vya watumiaji wengine.
207 Kwa lengo la kutaka kutafsiri, tafadhali fikiria kutumia [http://translatewiki.net/wiki/Main_Page?setlang=en Betawiki], kwa kuweka miradi ya MediaWiki kwa kienyeji.",
208 'sqlhidden' => '(maulizo ya SQL yamefichwa)',
209
210 # Login and logout pages
211 'welcomecreation' => '== Karibu, $1! ==
212 Ushafunguliwa akaunti yako tayari.
213 Usisahau kubadilisha mapendekezo yako ya [[Special:Preferences|{{SITENAME}}]].',
214 'loginpagetitle' => 'Kuingia kwa watumiaji',
215 'yourname' => 'Jina la mtumiaji:',
216 'yourpassword' => 'Nywila',
217 'yourpasswordagain' => 'Andika tena neno la siri',
218 'remembermypassword' => 'Nikumbuke katika tarakilishi hii',
219 'yourdomainname' => 'Tovuti yako:',
220 'externaldberror' => 'Huenda kulikuwa na hitilafu ya database au labda hauruhusiwi kubadilisha akaunti yako ya nje.',
221 'login' => 'Ingia',
222 'nav-login-createaccount' => 'Ingia/ sajili akaunti',
223 'loginprompt' => 'Lazima kompyuta yako ipokee kuki ili uweze kuingia kwenye {{SITENAME}}.',
224 'userlogin' => 'Ingia/ sajili akaunti',
225 'logout' => 'Toka',
226 'userlogout' => 'Toka',
227 'notloggedin' => 'Hujajiandikisha',
228 'nologin' => 'Huna akaunti ya kuingilia? $1',
229 'nologinlink' => 'Sajili akaunti',
230 'createaccount' => 'Sajili akaunti',
231 'gotaccount' => 'Unayo akaunti tayari? $1',
232 'gotaccountlink' => 'Ingia',
233 'createaccountmail' => 'Kwa barua pepe',
234 'badretype' => 'Maneno uliyoyaandika ni tofauti.',
235 'userexists' => 'Jina la mtumiaji uliloingiza tayari linatumika.
236 Tafadhali chagua jina lingine.',
237 'youremail' => 'Barua pepe yako:',
238 'username' => 'Jina la mtumiaji:',
239 'uid' => 'Namba ya mtumiaji:',
240 'prefs-memberingroups' => 'Mwanachama wa {{PLURAL:$1|group|makundi}}:',
241 'yourrealname' => 'Jina lako halisi:',
242 'yourlanguage' => 'Lugha:',
243 'yourvariant' => 'Mbalimbali:',
244 'yournick' => 'Sahihi:',
245 'badsig' => 'Umeweka sahihi batili.
246 Angalia mabano ya HTML.',
247 'badsiglength' => 'Sahihi uliyoweka ni ndefu mno.
248 Inatakiwa iwe chini ya $1 {{PLURAL:$1|character|tarakimu}}.',
249 'email' => 'Barua pepe',
250 'prefs-help-realname' => 'Jina la kweli si lazima. Ukichagua kutaja jina lako hapa, litatumiwa kuonyesha kwamba ndiyo ulifanya kazi unayochangia.',
251 'loginerror' => 'Kosa la kuingia',
252 'prefs-help-email' => 'Barua pepe sio lazima, lakini inawezesha kupokea nywila mpya kwa kupitia barua pepe yako endapo utakuwa umeisahau.
253 Pia unaweza kuchagua kuacha watumiaji wengine kuwasiliana nao kwa kutumia ukurasa wako wa mtumiaji au ule wa majadiliano bila ya kuonyesha jina la akaunti yako.',
254 'prefs-help-email-required' => 'Barua pepe inahitajika.',
255 'nocookiesnew' => "Umesajiliwa, lakini bado hujaingizwa. {{SITENAME}} inatumia ''kuki'' ili watumiaji waingizwe. Kompyuta yako inazuia ''kuki''. Tafadhali, ondoa kizuizi hicho uingie kwa kutumia jina mpya na neno la siri.",
256 'nocookieslogin' => '{{SITENAME}} inatumia kuki ili watumiaji waweze kuingia.
257 Kompyuta yako inakataa kupokea kuki.
258 Tafadhali, ondoa kizuizi hicho, baadaye jaribu tena.',
259 'noname' => 'Hauja dhihilisha jina la mtumiaji.',
260 'loginsuccesstitle' => 'Umefaulu kuingia',
261 'loginsuccess' => "'''Umeingia {{SITENAME}} kama \"\$1\".'''",
262 'nosuchuser' => 'Hakuna mtumiaji mwenye jina "$1". Labda umeandika vibaya, au sajili akaunti mpya.',
263 'nosuchusershort' => 'Hakuna mtumiaji mwenye jina "<nowiki>$1</nowiki>". Labda umeandika vibaya.',
264 'nouserspecified' => 'Lazima uandike jina la mtumiaji.',
265 'wrongpassword' => 'Umeingiza nywila ya makosa. Jaribu tena.',
266 'wrongpasswordempty' => 'Nywila ilikuwa tupu. Jaribu tena.',
267 'passwordtooshort' => 'Nywila yako haifai. Ni lazima iwe na herufi $1 au zaidi, na inabidi nywila na jina la mtumiaji ziwe tofauti.',
268 'mailmypassword' => 'Nitume nywila kwa barua pepe',
269 'passwordremindertitle' => 'Nywila mpya ya muda kwa {{SITENAME}}',
270 'passwordremindertext' => 'Mtu mmoja (yamkini wewe, kutoka anwani ya IP $1)
271 ambaye ameulizia nywila mpya kwa {{SITENAME}} ($4).
272 Nywila kwa mtumiaji "$2" sasa ni "$3".
273 Inatakiwa uingie na ubadilishe nywila yako sasa.
274
275 Kama mtu mwingine ametoa ombi hili au kama umekumbuka nywila yako na
276 umeamua kutoibadilisha, unaweza kupuuza ujumbe huu na
277 endelea kutumia nywila yako ya awali.',
278 'noemail' => 'Hatuna anwani ya barua pepe kwa mtumiaji "$1".',
279 'passwordsent' => 'Neno mpya la siri limeshatumia kwenye anwani ya baruapepe ya "$1".
280 Tafadhali, ingia baada ya kulipokea.',
281 'blocked-mailpassword' => 'Anwani yako ya IP imezuiwa kuhariri {{SITENAME}}, kwa maana hiyo hairuhusiiswi kuumba nywila mpya kwa lengo la kulinda uharibifu.',
282 'eauthentsent' => 'Tumekutuma barua pepe ili kuhakikisha anwani yako.
283 Kabla ya kutuma barua pepe nyingine kwenye akaunti hiyo, itabidi ufuate maelezo katika barua utakayopokea,
284 kuthibitisha kwamba wewe ndiyo ni mwenye akaunti.',
285 'throttled-mailpassword' => 'Kikumbusho cha nywila tayari kimeshatumwa, ndani ya {{PLURAL:$1|hour|$1masaa}} kadhaa yaliyopita.
286 Ili kuzuiya uhuni, kiumbusho cha nywila kimoja pekee utakachotumiwa kwa {{PLURAL:$1|hour|$1 masaa}} kadhaa.',
287
288 # Edit page toolbar
289 'bold_sample' => 'Matini ya koze',
290 'bold_tip' => 'Matini ya koze',
291 'italic_sample' => 'Matini ya italiki',
292 'italic_tip' => 'Matini ya italiki',
293 'link_sample' => 'Jina la kiungo',
294 'link_tip' => 'Kiungo cha ndani',
295 'extlink_sample' => 'http://www.example.com jina la kiungo',
296 'extlink_tip' => 'Kiungo cha nje (kumbuka kuanza na http:// )',
297 'headline_sample' => 'Matini ya kichwa cha habari',
298 'headline_tip' => 'Kichwa cha habari, saizi 2',
299 'math_sample' => 'Ingiza formula hapa',
300 'math_tip' => 'Formula ya kihesabu (LaTeX)',
301 'nowiki_sample' => 'Weka matini bila fomati hapa',
302 'nowiki_tip' => 'Puuza fomati ya Wiki',
303 'image_tip' => 'Picha iliyotiwa',
304 'media_tip' => 'Kiungo cha faili ya picha, video, au sauti',
305 'sig_tip' => 'Sahihi yako na saa ya kusahihisha',
306 'hr_tip' => 'Mstari wa mlalo (usitumie ovyo)',
307
308 # Edit pages
309 'summary' => 'Muhtasari',
310 'subject' => 'Kuhusu/kichwa cha habari',
311 'minoredit' => 'Haya ni mabadiliko madogo',
312 'watchthis' => 'Fuatilia ukurasa huu',
313 'savearticle' => 'Hifadhi ukurasa',
314 'preview' => 'Hakikisha',
315 'showpreview' => 'Onyesha hakikisho la mabadiliko',
316 'showdiff' => 'Onyesha mabadiliko',
317 'anoneditwarning' => "'''Ilani:''' Wewe hujaingia rasmi kwenye tovuti. Anwani ya IP ya tarakilishi yako itahifadhiwa katika historia ya uhariri wa ukurasa huu.",
318 'summary-preview' => 'Hakikisho la muhtasari',
319 'blockedtext' => "<big>'''Jina lako la mtumiaji au anwani yako ya IP imezuiwa.'''</big>
320
321 Umezuiwa na $1. Sababu alitambua ni ''$2''
322
323 * Mwanzo wa uzuio: $8
324 * Mwisho wa uzuio: $6
325 * Aliyezuiwa: $7
326
327 Unaweza kuwasiliana na $1 au [[{{MediaWiki:Grouppage-sysop}}|mkabidhi]] kuzungumza uzuio.
328 Huwezi kutumia kipengele 'kumtuma mtumiaji barua pepe' ila anwani halisi ya barua pepe inapatikana katika
329 [[Special:Preferences|mapendekezo ya akaunti]] yako na hujazuiwa kuitumia.
330 Anwani yako ya IP ni $3, na namba ya uzuio ni #$5. Tafadhali taja namba hizi ukitaka kuwasiliana kuhusu uzuio huu.",
331 'loginreqtitle' => 'Unatakiwa kuingia au kujisajili',
332 'accmailtitle' => 'Neno la siri limeshakutumia.',
333 'accmailtext' => "Neno la siri la '$1' limeshatumwa kwa $2.",
334 'newarticle' => '(Mpya)',
335 'newarticletext' => "Ukurasa unaotaka haujaandikwa bado. Ukipenda unaweza kuuandika wewe mwenyewe kwa kutumia sanduku la hapa chini (tazama [[{{MediaWiki:Helppage}}|Mwongozo]] kwa maelezo zaidi). Ukifika hapa kwa makosa, bofya kibonyezi '''back''' (nyuma) cha programu yako.",
336 'noarticletext' => 'Ukurasa huu haujaandikwa bado. [[Special:Search/{{PAGENAME}}|tafutia jina hili]] katika kurasa nyingine au [{{fullurl:{{FULLPAGENAME}}|action=edit}} hariri ukurasa huu].',
337 'previewnote' => '<strong>Hii ni hakikisho tu; mabadiliko hayajahifadhiwa bado!</strong>',
338 'editing' => 'Kuhariri $1',
339 'editingsection' => 'Unahariri $1 (kipande)',
340 'yourtext' => 'Maandishi yako',
341 'editingold' => '<strong>ANGALIA: Unakuwa unahariri nakala ya zamani ya ukurasa huu.
342 Ukiendelea kuihariri, mabadilisho yote yaliyofanywa tangu pale yatapotezwa.</strong>',
343 'copyrightwarning' => 'Tafadhali zingatia kwamba makala yote ya {{SITENAME}} unayoyaandika yanafuata $2 (tazama $1 kwa maelezo zaidi).
344 Usipotaka maandishi yako yaweze kuharirishwa bure na kutolewa wakati wowote, basi usiyaandike hapa.<br />
345 Unakuwa unaahidi kwamba maandishi unayoyaingia ni yako tu, au uliyapata kutoka bure au ni mali ya watu wote. <strong>USITOLEE MAKALA YALIYOHIFADHIWA HAKI ZAO ZA KUTUMIWA BILA KUPATA RUHUSA HALALI!</strong>',
346 'longpagewarning' => '<strong>ILANI: Urefu wa ukurasa huu ni kilobaiti $1; vivinjari kadhaa vinaweza kuwa na matatizo ukihariri ukurasa wenye urefu zaidi ya kb 32 hivi.
347 Tafadhali fikiria kuhusu kuvunja ukurasa kwa vipande vifupi.</strong>',
348 'protectedpagewarning' => '<strong>ANGALIA: Ukurasa huu unakingwa kwa hiyo watumiaji wenye haki za wasimamizi tu wanaweza kuuhariri. Hakikisha kwamba unakuwa unafuata mwongozo wa kuhariri kurasa zinazokingwa.<strong>',
349 'templatesused' => 'Vigezo vinavyotumiwa kwenye ukurasa huu:',
350 'templatesusedpreview' => 'Vigezo vinavyotumiwa katika mandhari haya:',
351 'template-protected' => '(kulindwa)',
352 'template-semiprotected' => '(ulindaji kwa kiasi)',
353 'nocreatetext' => '{{SITENAME}} imebana uwezekano kutengeneza kurasa mpya. Unaweza kurudia na kuhariri kurasa zilizomo, au [[Special:UserLogin|ingia au anza akaunti]].',
354 'nocreate-loggedin' => 'Huna ruhusa ya kuazisha kurasa mpya.',
355 'recreate-deleted-warn' => "'''Ilani: Unatengeneza tena ukurasa uliofutwa tayari.'''
356
357 Fikiria kama inafaa kuendelea kuhariri ukurasa huu.
358 Kumbukumbu ya kufuta ukurasa huu linapatikana hapa kukusaidia:",
359
360 # History pages
361 'viewpagelogs' => 'Tazama kumbukumbu kwa ukurasa huu',
362 'currentrev' => 'Kiungo cha daima',
363 'revisionasof' => 'Sahihisho kutoka $1',
364 'revision-info' => 'Sahihisho kutoka $1 na $2', # Additional available: $3: revision id
365 'previousrevision' => '←Sahihisho lililotangulia',
366 'nextrevision' => 'Sahihisho mpya zaidi?',
367 'currentrevisionlink' => 'Sahahisho ya sasa hivi',
368 'cur' => 'sasa',
369 'last' => 'kabla',
370 'page_first' => 'ya kwanza',
371 'page_last' => 'ya mwisho',
372 'histlegend' => 'Chagua tofauti: tia alama katika vitufe redio kulinganisha matoleo, na bonyeza "enter" au kitufe hapo chini.<br />
373 Ufunguo: (sasa) = tofauti na toleo la sasa, (kabla) = tofauti na toleo lililotangulia, D = mabadiliko maDogo.',
374 'histfirst' => 'Mwanzoni',
375 'histlast' => 'Mwishoni',
376
377 # Revision feed
378 'history-feed-item-nocomment' => '$1 kwenye $2', # user at time
379
380 # Diffs
381 'history-title' => 'Historia ya masahihisho ya "$1"',
382 'difference' => '(Tofauti baina ya masahihisho)',
383 'lineno' => 'Mstari $1:',
384 'compareselectedversions' => 'Linganisha matoleo mawili uliyochagua',
385 'editundo' => 'tengua',
386 'diff-multi' => '(Hatuonyeshi {{PLURAL:$1|sahihisho moja la katikati|masahihisho $1 ya katikati}}.)',
387
388 # Search results
389 'prevn' => '$1 iliyotangulia',
390 'nextn' => '$1 ijayo',
391 'viewprevnext' => 'Tazama ($1) ($2) ($3)',
392 'powersearch' => 'Tafuta',
393
394 # Preferences page
395 'preferences' => 'Mapendekezo',
396 'mypreferences' => 'Mapendekezo yangu',
397 'changepassword' => 'Badilisha neno la siri',
398 'skin' => 'Sura',
399 'oldpassword' => 'Neno la siri la zamani',
400 'newpassword' => 'Neno mpya la siri',
401 'retypenew' => 'Andika nywila tena:',
402
403 'grouppage-sysop' => '{{ns:project}}:Wakabidhi',
404
405 # User rights log
406 'rightslog' => 'Kumbukumbu ya vyeo vya watumiaji',
407
408 # Recent changes
409 'nchanges' => '{{PLURAL:$1|badiliko|mabadiliko}} $1',
410 'recentchanges' => 'Mabadiliko ya karibuni',
411 'recentchanges-feed-description' => 'Tumia tawanyiko hili kufuatilia mabadiliko yote ya hivi karibuni katika Wiki.',
412 'rcnote' => "Yanayofuata {{PLURAL:$1|ni badiliko '''1'''|ni mabadiliko '''$1''' ya mwisho}} kutoka katika {{PLURAL:$2|siku iliyopita|siku '''$2''' zilizopita}}, hadi $3.",
413 'rclistfrom' => 'Onyesha mabadiliko mapya kuanzia $1',
414 'rcshowhideminor' => '$1 mabadiliko madogo',
415 'rcshowhidebots' => '$1 roboti',
416 'rcshowhideliu' => '$1 watumiaji sasa',
417 'rcshowhideanons' => '$1 watumiaji bila majina',
418 'rcshowhidepatr' => '$1 masahihisho yanayofanywa doria',
419 'rcshowhidemine' => '$1 masahihisho zangu',
420 'rclinks' => 'Onyesha mabadiliko $1 yaliyofanywa wakati wa siku $2 zilizopita<br />$3',
421 'diff' => 'tofauti',
422 'hist' => 'hist',
423 'hide' => 'Ficha',
424 'show' => 'Onyesha',
425 'minoreditletter' => 'd',
426 'newpageletter' => 'P',
427 'boteditletter' => 'r',
428
429 # Recent changes linked
430 'recentchangeslinked' => 'Mabadiliko husika',
431 'recentchangeslinked-title' => 'Mabadiliko kuhusiana na "$1"',
432 'recentchangeslinked-noresult' => 'Hakuna mabadiliko kwenye kurasa zilizounganishwa wakati wa muda huo.',
433 'recentchangeslinked-summary' => "Ukurasa maalum huu unaorodhesha mabadiliko ya mwisho katika kurasa zinazoungwa. Kurasa katika maangalizi yako ni za '''koze'''.",
434
435 # Upload
436 'upload' => 'Pakia faili',
437 'uploadbtn' => 'Pakia faili',
438 'uploadlogpage' => 'Kumbukumbu ya upakiaji',
439 'filedesc' => 'Muhtasari',
440 'ignorewarning' => 'Hifadhi bila kujali maonyo yoyote.',
441 'uploadedimage' => ' "[[$1]]" imepakiwa',
442
443 # Special:ImageList
444 'imagelist' => 'Orodha ya mafaili',
445
446 # Image description page
447 'filehist' => 'Historia ya faili',
448 'filehist-help' => 'Bonyeza tarehe/saa kuona faili kama ilivyoonekana wakati huo.',
449 'filehist-current' => 'sasa hivi',
450 'filehist-datetime' => 'Tarehe/Saa',
451 'filehist-user' => 'Mtumiaji',
452 'filehist-dimensions' => 'Vipimo',
453 'filehist-filesize' => 'Ukubwa wa faili',
454 'filehist-comment' => 'Maoni',
455 'imagelinks' => 'Viungo',
456 'linkstoimage' => 'Kurasa hizi zimeunganishwa na faili hili:',
457 'nolinkstoimage' => 'Hakuna kurasa zozote zilizounganishwa na faili hii.',
458 'sharedupload' => 'Faili hii inaweza kushirikiwa na miradi mingine.',
459 'noimage' => 'Hakuna faili yenye jina hili, $1 kama unayo.',
460 'noimage-linktext' => 'pakia picha',
461 'uploadnewversion-linktext' => 'Pakia toleo jipya la faili hii',
462
463 # MIME search
464 'mimesearch' => 'Utafutaji wa MIME',
465
466 # List redirects
467 'listredirects' => 'Maelekezo',
468
469 # Unused templates
470 'unusedtemplates' => 'Vigezo ambavyo havitumiwi',
471
472 # Random page
473 'randompage' => 'Ukurasa wa bahati',
474
475 # Random redirect
476 'randomredirect' => 'Elekezo la bahati',
477
478 # Statistics
479 'statistics' => 'Takwimu',
480 'statistics-header-users' => 'Takwimu za watumiaji',
481
482 'disambiguations' => 'Kurasa za kuainisha maneno',
483
484 'doubleredirects' => 'Maelekezo mawilimawili',
485
486 'brokenredirects' => 'Maelekezo yenye hitilafu',
487
488 'withoutinterwiki' => 'Kurasa bila viungo kwenye lugha nyingine',
489
490 'fewestrevisions' => 'Kurasa zenye masahihisho machache kuliko zote',
491
492 # Miscellaneous special pages
493 'nbytes' => '{{PLURAL:$1|baiti|baiti}} $1',
494 'nlinks' => '{{PLURAL:$1|kiungo|viungo}} $1',
495 'nmembers' => '{{PLURAL:$1|mtumiaji|watumiaji}} $1',
496 'lonelypages' => 'Kurasa ambazo haziungwi kutoka ukurasa mwingine wowote',
497 'uncategorizedpages' => 'Kurasa ambazo hazijawekwa katika jamii',
498 'uncategorizedcategories' => 'Jamii ambazo hazijawekwa katika jamii',
499 'uncategorizedimages' => 'Picha ambazo hazijawekwa katika jamii',
500 'uncategorizedtemplates' => 'Vigezo ambavyo havijawekwa katika jamii',
501 'unusedcategories' => 'Jamii ambazo hazitumiwi',
502 'unusedimages' => 'Mafaili ambayo hayatumiwi',
503 'wantedcategories' => 'Jamii zinazotakiwa',
504 'wantedpages' => 'Kurasa zinazotakiwa',
505 'mostlinked' => 'Kurasa zinazoungwa kuliko zote',
506 'mostlinkedcategories' => 'Jamii zinazoungwa kuliko zote',
507 'mostlinkedtemplates' => 'Vigezo vinavyoungwa kuliko zote',
508 'mostcategories' => 'Jamii ambazo hazitumiwi',
509 'mostimages' => 'Picha zinazoungwa kuliko zote',
510 'mostrevisions' => 'Kurasa zenye masahihisho mengi kuliko zote',
511 'prefixindex' => 'Kielezo cha viambishi awali',
512 'shortpages' => 'Kurasa fupi',
513 'longpages' => 'Kurasa ndefu',
514 'deadendpages' => 'Kurasa ambazo haziungi na ukurasa mwingine wowote',
515 'protectedpages' => 'Kurasa zinazolindwa',
516 'listusers' => 'Orodha ya Watumiaji',
517 'newpages' => 'Kurasa mpya',
518 'ancientpages' => 'Kurasa za kale',
519 'move' => 'Sogeza',
520 'movethispage' => 'Sogeza ukurasa huu',
521
522 # Book sources
523 'booksources' => 'Vyanzo vya vitabu',
524
525 # Special:Log
526 'specialloguserlabel' => 'Mtumiaji:',
527 'speciallogtitlelabel' => 'Kichwa:',
528 'log' => 'Kumbukumbu',
529 'all-logs-page' => 'Kumbukumbu zote',
530
531 # Special:AllPages
532 'allpages' => 'Kurasa zote',
533 'alphaindexline' => '$1 hadi $2',
534 'nextpage' => 'Ukurasa ujao ($1)',
535 'prevpage' => 'Ukurasa uliotangulia ($1)',
536 'allpagesfrom' => 'Onyesha kurasa zinazoanza kutoka:',
537 'allarticles' => 'Kurasa zote',
538 'allpagessubmit' => 'Nenda',
539 'allpagesprefix' => 'Onyesha kurasa zenye kiambishi awali:',
540
541 # Special:Categories
542 'categories' => 'Jamii',
543
544 # E-mail user
545 'emailuser' => 'Mtumie mtumiaji huyu barua pepe',
546
547 # Watchlist
548 'watchlist' => 'Maangalizi yangu',
549 'mywatchlist' => 'Maangalizi yangu',
550 'watchlistfor' => "(kwa '''$1''')",
551 'addedwatch' => 'Imeongezwa kwenye maangalizi yako',
552 'addedwatchtext' => "Ukurasa \"[[:\$1]]\" umewekwa kwenye [[Special:Watchlist|maangalizi]] yako.
553 Mabadiliko katika ukurasa huo na ukurasa wake wa majadiliano utaonekana hapo,
554 na ukurasa utaonyeshwa wenye '''koze''' kwenye [[Special:RecentChanges|orodha ya mabadiliko ya karibuni]]
555 ili kukusaidia kutambua.
556
557 Ukitaka kufuta ukurasa huo kutoka maangalizi yako baadaye, bonyeza \"Acha kufuatilia\" katika mwamba pembeni.",
558 'removedwatch' => 'Imefutwa kutoka maangalizi yako',
559 'removedwatchtext' => 'Ukurasa "[[:$1]]" umefutwa kutoka maangalizi yako.',
560 'watch' => 'Fuatilia',
561 'watchthispage' => 'Fuatilia ukurasa huu',
562 'unwatch' => 'Acha kufuatilia',
563 'watchlist-details' => 'Unafuatilia {{PLURAL:$1|ukurasa $1|kurasa $1}} bila kuzingatia kurasa za majadiliano',
564 'wlshowlast' => 'Onyesha kutoka masaa $1 siku $2 $3',
565 'watchlist-hide-bots' => 'Ficha masahihisho ya roboti',
566 'watchlist-hide-own' => 'Ficha hariri zangu',
567 'watchlist-hide-minor' => 'Ficha mabadiliko madogo',
568
569 # Displayed when you click the "watch" button and it is in the process of watching
570 'watching' => 'Unafuatilia...',
571 'unwatching' => 'Umeacha kufuatilia...',
572
573 # Delete
574 'deletepage' => 'Futa ukurasa',
575 'historywarning' => 'Ilani: Ukurasa unaotaka kufuta una historia yake:',
576 'confirmdeletetext' => 'Wewe unategemea kufuta ukurasa pamoja na historia yake yote.
577 Tafadhali hakikisha kwamba unalenga kufanya hivyo, na kwamba unaelewa matokeo yake, na kwamba unafuata [[{{MediaWiki:Policy-url}}|sera]].',
578 'actioncomplete' => 'Kitendo kimekwisha',
579 'deletedtext' => '"<nowiki>$1</nowiki>" imefutwa. Ona $2 kwa historia ya kurasa zilizofutwa hivi karibuni.',
580 'deletedarticle' => '"[[$1]]" ilifutwa',
581 'dellogpage' => 'Kumbukumbu ya ufutaji',
582 'deletecomment' => 'Sababu ya kufuta',
583 'deleteotherreason' => 'Sababu nyingine:',
584 'deletereasonotherlist' => 'Sababu nyingine',
585
586 # Rollback
587 'rollbacklink' => 'rejesha',
588
589 # Protect
590 'protectlogpage' => 'Kumbukumbu ya ulindaji',
591 'prot_1movedto2' => '[[$1]] umesogezwa hapa [[$2]]',
592 'protect-legend' => 'Hakikisha ukingo',
593 'protectcomment' => 'Maoni:',
594 'protectexpiry' => 'Itakwisha:',
595 'protect_expiry_invalid' => 'Muda wa kwisha ni batilifu.',
596 'protect_expiry_old' => 'Muda wa kuishi umepita tayari.',
597 'protect-unchain' => 'Fungua ruhusa za kusogeza',
598 'protect-text' => 'Unaweza kutazama na kubadilisha kiwango cha ulindaji hapa kwa ukurasa <strong><nowiki>$1</nowiki></strong>.',
599 'protect-locked-access' => 'Akaunti yako hairuhusiwi kubadilisha viwango vya ulindaji.
600 Hivi ni vipimo kwa ukurasa <strong>$1</strong>:',
601 'protect-cascadeon' => 'Ukurasa huu umelindwa kwa sababu umezingatiwa katika {{PLURAL:$1|ukurasa $1 unaolinda kurasa chini yake|kurasa $1 zinazolinda kurasa chini yake}}. Unaweza kubadilisha kiwango cha ulindaji wa ukurasa huu, lakini hutaathirika ulindaji kutoka kurasa juu yake.',
602 'protect-default' => '(chaguo-msingi)',
603 'protect-fallback' => 'Lazimisha ruhusa "$1"',
604 'protect-level-autoconfirmed' => 'Zuia watumiaji ambao hawajajisajilisha',
605 'protect-level-sysop' => 'Wakabidhi tu',
606 'protect-summary-cascade' => 'ulindaji kwa kurasa chini yake',
607 'protect-expiring' => 'itakwisha $1 (UTC)',
608 'protect-cascade' => 'Linda kurasa zinazozingatiwa chini ya ukurasa huu',
609 'protect-cantedit' => 'Huwezi kubadilisha kiwango cha ulindaji wa ukurasa huu, kwa sababu huruhusiwi kuuhariri.',
610 'protect-expiry-options' => 'Masaa 2:2 hours,siku 1:1 day,siku 3:3 days,wiki 1:1 week,wiki 2:2 weeks,mwezi 1:1 month,miezi 3:3 months,miezi 6:6 months,mwaka 1:1 year,milele:infinite', # display1:time1,display2:time2,...
611 'restriction-type' => 'Ruhusa:',
612 'restriction-level' => 'Kiwango cha kizuio:',
613
614 # Undelete
615 'undeletebtn' => 'Rudisha',
616
617 # Namespace form on various pages
618 'namespace' => 'Eneo la majina:',
619 'invert' => 'Geuza uteuzi',
620 'blanknamespace' => '(Kuu)',
621
622 # Contributions
623 'contributions' => 'Michango ya watumiaji',
624 'mycontris' => 'Michango yangu',
625 'contribsub2' => 'Kwa $1 ($2)',
626 'uctop' => '(juu)',
627 'month' => 'Kutoka mwezi (na zamani zaidi):',
628 'year' => 'Kutoka mwakani (na zamani zaidi):',
629
630 'sp-contributions-newbies-sub' => 'Kwa akaunti mpya',
631 'sp-contributions-blocklog' => 'Kumbukumbu ya uzuio',
632
633 # What links here
634 'whatlinkshere' => 'Viungo viungacho ukurasa huu',
635 'whatlinkshere-title' => 'Kurasa zilizounganishwa na $1',
636 'linkshere' => "Kurasa zifuatazo zimeunganishwa na '''[[:$1]]''':",
637 'nolinkshere' => "Hakuna kurasa zilizounganishwa na '''[[:$1]]'''.",
638 'isredirect' => 'elekeza ukurasa',
639 'istemplate' => 'jumuisho',
640 'whatlinkshere-prev' => '{{PLURAL:$1|uliotangulia|$1 zilizotangulia}}',
641 'whatlinkshere-next' => '{{PLURAL:$1|ujao|$1 zijazo}}',
642 'whatlinkshere-links' => '? viungo',
643
644 # Block/unblock
645 'blockip' => 'Zuia mtumiaji',
646 'ipboptions' => 'Masaa 2:2 hours,siku 1:1 day,siku 3:3 days,wiki 1:1 week,wiki 2:2 weeks,mwezi 1:1 month,miezi 3:3 months,miezi 6:6 months,mwaka 1:1 year,milele:infinite', # display1:time1,display2:time2,...
647 'ipblocklist' => 'Orodha ya anwani za IP na majina ya watumiaji kuzuiwa',
648 'blocklink' => 'zuia',
649 'unblocklink' => 'acha kuzuia',
650 'contribslink' => 'michango',
651 'blocklogpage' => 'Kumbukumbu ya uzuio',
652 'blocklogentry' => '[[$1]] imezuiwa mpaka $2 $3',
653
654 # Move page
655 'move-page-legend' => 'Sogeza ukurasa',
656 'movepagetext' => "Tumia fomu hapo chini itabadilisha jina la ukurasa, na itahamisha historia yake yote katika jina jipya lile lile.
657 Jina la awali litahamishwa na kuelekezwa katika mahali pa jina jipya.
658 Viungo vilivyounganishwa na ukurasa wa awali havitabadilishwa;
659 tafadhali tafutia maelekezo yenye hitilafu na maelekezo mawilimawili.
660 Wewe una madaraka kuhakikisha kwamba viungo viendelee kuelekea vinapolengwa.
661
662 Uwe mwangalifu kwamba ukurasa '''hautahamishwa''' kama tayari kuna ukurasa wenye jina jipya, ila ni tupu au ni maelekezo na hauna historia ya kuhaririwa.
663 Yaani unaweza kurudisha ukurasa kwenye jina la awali ukikosa, na haiwezekani kufuta ukurasa mwingine kwa nasibu.
664
665 '''ILANI!'''
666 Kuhamisha ukurasa wenye wasomaji wengi kunaweza kuathirika watumiaji wetu.
667 Tafadhali hakikisha kwamba unaelewa matokeo ya kitendo hiki kabla ya kuendelea.",
668 'movepagetalktext' => "Ukurasa wa majadiliano wa ukurasa huu utasogezwa pamoja yake
669 '''ila:'''
670 *tayari kuna ukurasa wa majadiliano (usiyo tupu) kwenye jina jipya, au
671 *ukifuta tiki katika kisanduku hapa chini.
672
673 Kama tayari kuna ukurasa au ukifuta tiki, itabidi usogeze au uunganishe ukurasa kwa mkono ukitaka.",
674 'movearticle' => "Ukurasa wa majadiliano wa ukurasa huu utasogezwa pamoja yake '''ila:'''
675 *tayari kuna ukurasa wa majadiliano (usiyo tupu) kwenye jina jipya, au
676 *ukifuta tiki katika kisanduku hapa chini.
677
678 Kama tayari kuna ukurasa au ukifuta tiki, itabidi usogeze au uunganishe ukurasa kwa mkono ukitaka.",
679 'newtitle' => 'Kuelekeza jina jipya:',
680 'move-watch' => 'Fuatilia ukurasa huu',
681 'movepagebtn' => 'Sogeza ukurasa',
682 'pagemovedsub' => 'Umefaulu kusogeza ukurasa',
683 'articleexists' => 'Tayari kuna ukurasa wenye jina hilo, au
684 jina ulilochagua ni batilifu.
685 Chagua jina lengine.',
686 'talkexists' => "'''Ukurasa wenyewe ulisogezwa salama, lakini ukurasa wake wa majadiliano haujasogezwa kwa sababu tayari kuna ukurasa wenye jina lake. Tafadhali ziunganishe kwa mkono.'''",
687 'movedto' => 'imesogezwa hadi',
688 'movetalk' => 'Sogeza ukurasa wake wa majadiliano',
689 '1movedto2' => '[[$1]] umesogezwa hapa [[$2]]',
690 'movelogpage' => 'Kumbukumbu ya uhamiaji',
691 'movereason' => 'Sababu:',
692 'revertmove' => 'rejesha',
693
694 # Export
695 'export' => 'Hamisha kurasa',
696
697 # Namespace 8 related
698 'allmessages' => 'Ujumbe za mfumo',
699
700 # Thumbnails
701 'thumbnail-more' => 'Kuza',
702 'thumbnail_error' => 'Hitilafu kutengeneza picha ndogo: $1',
703
704 # Import log
705 'importlogpage' => 'Kumbukumbu ya kuingizwa',
706
707 # Tooltip help for the actions
708 'tooltip-pt-userpage' => 'Ukurasa wangu',
709 'tooltip-pt-mytalk' => 'Majadiliano yangu',
710 'tooltip-pt-preferences' => 'Mapendekezo yangu',
711 'tooltip-pt-watchlist' => 'Orodha ya kurasa unazofuatilia kwa mabadiliko',
712 'tooltip-pt-mycontris' => 'Orodha ya michango yangu',
713 'tooltip-pt-login' => 'Tunakushajisha kuingia, lakini siyo lazima.',
714 'tooltip-pt-logout' => 'Toka',
715 'tooltip-ca-talk' => 'Mazungumzo kuhusu makala',
716 'tooltip-ca-edit' => 'Unaweza kuhariri ukurasa huu. Tafadhali tumia kitufe cha kuhakikisha kabla ya kuhifadhi.',
717 'tooltip-ca-addsection' => 'Weka maoni yako kwenye majadiliano haya.',
718 'tooltip-ca-viewsource' => 'Ukurasa huu umelindwa. Unaweza kutazama chanzo chake.',
719 'tooltip-ca-protect' => 'Linda ukurasa huu',
720 'tooltip-ca-delete' => 'Futa ukurasa huu',
721 'tooltip-ca-move' => 'Sogeza ukurasa huu',
722 'tooltip-ca-watch' => 'Fuatilia ukurasa huu kwenye maangalizi yako',
723 'tooltip-ca-unwatch' => 'Futa ukurasa huu kutoka maangalizi yako',
724 'tooltip-search' => 'Tafuta {{SITENAME}}',
725 'tooltip-n-mainpage' => 'Tembelea Mwanzo',
726 'tooltip-n-portal' => 'Kuhusu mradi, mambo unaweza kufanya, na mahali pa kugundua vitu',
727 'tooltip-n-currentevents' => 'Maarifa kuhusu habari za siku hizi',
728 'tooltip-n-recentchanges' => 'Orodha ya mabadiliko ya hivi karibuni katika Wiki.',
729 'tooltip-n-randompage' => 'Onyesha ukurasa wa bahati',
730 'tooltip-n-help' => 'Mahali pa kueleweshwa.',
731 'tooltip-t-whatlinkshere' => 'Orodha ya kurasa zote za Wiki zilizounganishwa na ukurasa huu',
732 'tooltip-t-contributions' => 'Tazama orodha ya michango kwa mtumiaji huyu',
733 'tooltip-t-emailuser' => 'Mtumie mtumiaji huyu barua pepe',
734 'tooltip-t-upload' => 'Pakia picha, video, au sauti',
735 'tooltip-t-specialpages' => 'Orodha ya kurasa maalum zote',
736 'tooltip-ca-nstab-user' => 'Tazama ukurasa wa mtumiaji',
737 'tooltip-ca-nstab-project' => 'Tazama ukurasa wa mradi',
738 'tooltip-ca-nstab-image' => 'Angalia ukurasa wa picha',
739 'tooltip-ca-nstab-template' => 'Tazama kigezo',
740 'tooltip-ca-nstab-help' => 'Tazama ukurasa wa msaada',
741 'tooltip-ca-nstab-category' => 'Tazama ukurasa wa jamii',
742 'tooltip-minoredit' => 'Tia alama kwamba hii ni badiliko dogo',
743 'tooltip-save' => 'Hifadhi mabadiliko yako',
744 'tooltip-preview' => 'Hakikisha mabadiliko yako, tafadhali fanya kabla ya kuhifadhi!',
745 'tooltip-diff' => 'Onyesha mabadiliko uliyofanya kwenye makala.',
746 'tooltip-compareselectedversions' => 'Tazama tofauti baina ya matoleo mawili uliochagua ya ukurasa huu.',
747 'tooltip-watch' => 'Fuatilia ukurasa huu kwenye maangalizi yako',
748
749 # Attribution
750 'siteuser' => '{{SITENAME}} mtumiaji $1',
751
752 # Browsing diffs
753 'previousdiff' => '←Tofauti kabla',
754 'nextdiff' => 'Tofauti ijayo→',
755
756 # Media information
757 'file-info-size' => '(piseli $1 × $2, saizi ya faili: $3, aina ya MIME: $4)',
758 'file-nohires' => '<small>Hakuna saizi kubwa zaidi.</small>',
759 'svg-long-desc' => '(faili ya SVG, husemwa kuwa piseli $1 × $2, saizi ya faili: $3)',
760 'show-big-image' => 'Ukubwa wa awali',
761 'show-big-image-thumb' => '<small>Ukubwa wa hakikisho hili: piseli $1 x $2</small>',
762
763 # Special:NewImages
764 'newimages' => 'Mkusanyiko wa faili jipya',
765
766 # Bad image list
767 'bad_image_list' => 'Fomati ni hii:
768
769 Tunazingatia madondoo katika orodha (mistari inayoanza na *) tu. Inabidi kiungo cha kwanza katika mstari kiunge na picha mbaya.
770 Viungo vinavyofuata katika mstari ule ule vitaelewa kuwa mambo ya pekee, yaani kurasa zinazoruhusiwa kuonyesha picha hiyo.',
771
772 # Metadata
773 'metadata' => 'Data juu',
774 'metadata-help' => 'Faili hiil lina maarifa mengine, yamkini kutoka kemra au skana iliyotumiwa kulitengeneza au kuliandaa kwa tarakilishi. Kama faili imebadilishwa kutoka hali yake ya awali, inawezekana kwamba vipengele kadhaa vitakuwa tofauti kuliko hali ya picha sasa.',
775 'metadata-expand' => 'Onyesha maarifa vinaganaga',
776 'metadata-collapse' => 'Ficha maarifa vinaganaga',
777 'metadata-fields' => 'Nyuga za data juu za EXIF zinazoorodheshwa katika ujumbe huu
778 utazingatiwa kwenye ukurasa wa picha wakati jedwali la data juu
779 likifupishwa. Nyuga zingine zitafichwa kama chaguo-msingi.
780 * make
781 * model
782 * datetimeoriginal
783 * exposuretime
784 * fnumber
785 * focallength', # Do not translate list items
786
787 # External editor support
788 'edit-externally' => 'Tumia programu ya nje kuhariri faili hii',
789 'edit-externally-help' => 'Ona [http://www.mediawiki.org/wiki/Manual:External_editors maelezo (kwa Kiingereza)] kwa maarifa mengine.',
790
791 # 'all' in various places, this might be different for inflected languages
792 'watchlistall2' => 'zote',
793 'namespacesall' => 'zote',
794 'monthsall' => 'zote',
795
796 # Watchlist editing tools
797 'watchlisttools-view' => 'Tazama mabadiliko yanayohusiana',
798 'watchlisttools-edit' => 'Tazama na hariri maangalizi',
799 'watchlisttools-raw' => 'Hariri maangalizi ghafi',
800
801 # Special:Version
802 'version' => 'Toleo', # Not used as normal message but as header for the special page itself
803
804 # Special:SpecialPages
805 'specialpages' => 'Kurasa maalum',
806
807 );