Localisation updates for core messages from Betawiki (2008-12-01 09:20 CET)
[lhc/web/wiklou.git] / languages / messages / MessagesSw.php
1 <?php
2 /** Swahili (Kiswahili)
3 *
4 * @ingroup Language
5 * @file
6 *
7 * @author Lloffiwr
8 * @author Malangali
9 * @author Marcos
10 * @author Muddyb Blast Producer
11 * @author Robert Ullmann
12 * @author לערי ריינהארט
13 */
14
15 $messages = array(
16 # User preference toggles
17 'tog-hideminor' => 'Ficha mabadilisho madogo ya hivi karibuni',
18 'tog-editsection' => 'Wezesha sehemu ya kuandikia kwa kutumia viungo vya [hariri]',
19 'tog-editsectiononrightclick' => 'Wezesha sehemu ya kuandikia kwa kubonyeza kitufe cha kulia cha puku yako juu ya sehemu ya majina husika (JavaScript)',
20 'tog-showtoc' => 'Onyesha mistari ya yaliyomo (kwa kila kurasa iliyo na zaidi ya vichwa vya habari 3)',
21 'tog-rememberpassword' => 'Kumbuka kuingia kwangu katika kompyuta hii',
22 'tog-editwidth' => 'Hariri sanduku lenye upana mzima',
23 'tog-watchcreations' => 'Weka kurasa nilizoumba katika maangalizi yangu',
24 'tog-watchdefault' => 'Weka kurasa zote nilizohariri katika maangalizi yangu',
25 'tog-watchmoves' => 'Weka kurasa zote nilizohamisha katika maangalizi yangu',
26 'tog-watchdeletion' => 'Weka kurasa zote nilizofuta katika maangalizi yangu',
27 'tog-minordefault' => 'Weka alama zote za mabadiliko madogo kama matumizi mbadala',
28 'tog-previewontop' => 'Onyesha mandhari kabla ya sanduku la kuhariria',
29 'tog-previewonfirst' => 'Onyesha mandhari mwanzoni mwa sanduku la kuhariria',
30 'tog-nocache' => 'Lemaza mabaki ya kurasa',
31 'tog-enotifwatchlistpages' => 'Nitumie barua pepe pale kurasa zilizopo katika maangalizi yangu zikibadilishwa',
32 'tog-enotifusertalkpages' => 'Nitumie barua pepe pale ukurasa wangu wa majadiliano ukiwa na mabadiliko',
33 'tog-enotifminoredits' => 'Pia nitumie barua pale kurasa za mabadiliko madogo zikiwa zimebadilishwa',
34 'tog-enotifrevealaddr' => 'Onyesha anwani ya barua pepe yangu katika barua pepe za taarifa',
35 'tog-shownumberswatching' => 'Onyesha idadi ya watumiaji waangalizi',
36 'tog-fancysig' => 'Sahihi changa (bila kijiweka kiungo yenyewe)',
37 'tog-ccmeonemails' => 'Nitumie nakala ya barua pepe nitakazo tuma kwa watumiaji wengine',
38
39 # Dates
40 'sunday' => 'Jumapili',
41 'monday' => 'Jumatatu',
42 'tuesday' => 'Jumanne',
43 'wednesday' => 'Jumatano',
44 'thursday' => 'Alhamisi',
45 'friday' => 'Ijumaa',
46 'saturday' => 'Jumamosi',
47 'sun' => 'Jpili',
48 'mon' => 'Jtatu',
49 'tue' => 'Jnne',
50 'wed' => 'Jtano',
51 'thu' => 'Alham',
52 'fri' => 'Iju',
53 'sat' => 'Jmosi',
54 'january' => 'Januari',
55 'february' => 'Februari',
56 'march' => 'Machi',
57 'april' => 'Aprili',
58 'may_long' => 'Mei',
59 'june' => 'Juni',
60 'july' => 'Julai',
61 'august' => 'Agosti',
62 'september' => 'Septemba',
63 'october' => 'Oktoba',
64 'november' => 'Novemba',
65 'december' => 'Desemba',
66 'january-gen' => 'Januari',
67 'february-gen' => 'Februari',
68 'march-gen' => 'Machi',
69 'april-gen' => 'Aprili',
70 'may-gen' => 'Mei',
71 'june-gen' => 'Juni',
72 'july-gen' => 'Julai',
73 'august-gen' => 'Agosti',
74 'september-gen' => 'Septemba',
75 'october-gen' => 'Oktoba',
76 'november-gen' => 'Novemba',
77 'december-gen' => 'Desemba',
78 'jan' => 'Jan',
79 'feb' => 'Feb',
80 'mar' => 'Machi',
81 'apr' => 'Apr',
82 'may' => 'Mei',
83 'jun' => 'Juni',
84 'jul' => 'Julai',
85 'aug' => 'Ago',
86 'sep' => 'Sep',
87 'oct' => 'Okt',
88 'nov' => 'Nov',
89 'dec' => 'Des',
90
91 # Categories related messages
92 'category_header' => 'Makala katika jamii "$1"',
93 'subcategories' => 'Vijamii',
94 'category-media-header' => 'Picha, video, na sauti katika jamii "$1"',
95 'category-empty' => "''Jamii hii haina ukurasa, picha, video, wala sauti yoyote.''",
96 'listingcontinuesabbrev' => 'endelea',
97
98 'about' => 'Kuhusu',
99 'article' => 'Makala',
100 'newwindow' => '(Itafungua kwa dirisha jipya)',
101 'cancel' => 'Batilisha',
102 'qbfind' => 'Gundua',
103 'qbedit' => 'Hariri',
104 'qbspecialpages' => 'Kurasa za pekee',
105 'mytalk' => 'Majadiliano yangu',
106 'navigation' => 'Safari',
107
108 'errorpagetitle' => 'Hitilafu',
109 'returnto' => 'Rudia $1.',
110 'tagline' => 'Kutoka {{SITENAME}}',
111 'help' => 'Msaada',
112 'search' => 'Tafuta',
113 'searchbutton' => 'Tafuta',
114 'go' => 'Nenda',
115 'searcharticle' => 'Nenda',
116 'history' => 'Historia ya ukurasa',
117 'history_short' => 'Historia',
118 'printableversion' => 'Ukarasa kwa kuchapa',
119 'permalink' => 'Kiungo cha daima',
120 'edit' => 'Hariri',
121 'create' => 'Anzisha kurasa',
122 'editthispage' => 'Hariri ukurasa huu',
123 'delete' => 'Futa',
124 'deletethispage' => 'Futa ukurasa huo',
125 'protect' => 'Linda',
126 'protectthispage' => 'Linda ukurasa huu',
127 'unprotect' => 'Usilinde',
128 'unprotectthispage' => 'Usilinde ukurasa huu',
129 'newpage' => 'Ukurasa mpya',
130 'talkpage' => 'Jadilia ukarasa huu',
131 'talkpagelinktext' => 'Majadiliano',
132 'specialpage' => 'Ukarasa maalumu',
133 'personaltools' => 'Vifaa binafsi',
134 'postcomment' => 'Weka maelezo',
135 'talk' => 'Majadiliano',
136 'views' => 'Mitazamo',
137 'toolbox' => 'Vifaa',
138 'userpage' => 'Ukurasa wa mtumiaji',
139 'otherlanguages' => 'Lugha nyingine',
140 'redirectedfrom' => '(Elekezwa kutoka $1)',
141 'redirectpagesub' => 'Elekeza ukurasa',
142 'lastmodifiedat' => 'Ukarasa huu umebadilisha mara iliyopita tarehe $1, saa $2.', # $1 date, $2 time
143 'protectedpage' => 'Kurasa iliyolindwa',
144 'jumpto' => 'Rukia:',
145 'jumptonavigation' => 'urambazaji',
146 'jumptosearch' => 'tafuta',
147
148 # All link text and link target definitions of links into project namespace that get used by other message strings, with the exception of user group pages (see grouppage) and the disambiguation template definition (see disambiguations).
149 'aboutsite' => 'Kuhusu {{SITENAME}}',
150 'aboutpage' => 'Project:Kuhusu',
151 'bugreports' => 'Simulia tatizo',
152 'bugreportspage' => 'Project:Taarifa za hitilafu',
153 'copyright' => 'Yaliyomo yafuata $1.',
154 'copyrightpage' => '{{ns:project}}:Hatimiliki',
155 'currentevents' => 'Matukio ya hivi karibuni',
156 'currentevents-url' => 'Project:Matukio ya hivi karibuni',
157 'disclaimers' => 'Kanusho',
158 'disclaimerpage' => 'Project:Kanusho kwa jumla',
159 'edithelp' => 'Usaidizi kwa uhariri',
160 'edithelppage' => 'Help:Usaidizi kwa uhariri',
161 'faq' => 'Maswali ya kawaida',
162 'helppage' => 'Help:Yaliyomo',
163 'mainpage' => 'Mwanzo',
164 'mainpage-description' => 'Mwanzo',
165 'portal' => 'Jumuia',
166 'portal-url' => 'Project:Jumuia',
167 'privacy' => 'Sera ya faragha',
168 'privacypage' => 'Project:Sera ya faragha',
169
170 'badaccess' => 'Kuna hitilafu ya ruhusa',
171 'badaccess-groups' => 'Ombi uliloomba limefikia ukingoni mwa watumiaji wa {{PLURAL:$2|the group|one of the groups}}: $1.',
172
173 'retrievedfrom' => 'Rudishwa kutoka "$1"',
174 'youhavenewmessages' => 'Una $1 ($2).',
175 'newmessageslink' => 'ujumbe mpya',
176 'newmessagesdifflink' => 'badiliko la mwisho',
177 'editsection' => 'hariri',
178 'editold' => 'hariri',
179 'editsectionhint' => 'Hariri kipande: $1',
180 'toc' => 'Yaliyomo',
181 'showtoc' => 'fichua',
182 'hidetoc' => 'ficha',
183 'site-rss-feed' => '$1 tawanyiko la RSS',
184 'site-atom-feed' => '$1 tawanyiko la Atom',
185 'page-rss-feed' => '"$1" tawanyiko la RSS',
186 'red-link-title' => '$1 (bado haujaandikwa)',
187
188 # Short words for each namespace, by default used in the namespace tab in monobook
189 'nstab-main' => 'Makala',
190 'nstab-user' => 'Ukurasa wa mtumiaji',
191 'nstab-project' => 'Ukurasa wa mradi',
192 'nstab-image' => 'Faili',
193 'nstab-template' => 'Kigezo',
194 'nstab-help' => 'Msaada',
195 'nstab-category' => 'Jamii',
196
197 # General errors
198 'error' => 'Kosa',
199 'badtitle' => 'Jina halifai',
200 'badtitletext' => 'Jina la ukurasa ulilotaka ni batilifu, tupu, au limeungwa vibaya na jina la lugha nyingine au Wiki nyingine. Labda linazo herufi moja a zaidi ambazo hazitumiki katika majina.',
201 'viewsource' => 'Tazama chanzo',
202 'viewsourcefor' => 'kwa $1',
203 'protectedpagetext' => 'Ukurasa huu umefungwa ili kuepuka uhariri.',
204 'viewsourcetext' => 'Unaweza kutazama na kuiga chanzo cha ukurasa huu:',
205 'protectedinterface' => 'Ukurasa huu unatoa maelezo ya msingi ya bidhaa pepe, na pia umefungwa ili kuzuiya uharibifu.',
206 'editinginterface' => "'''Ilani:''' Una hariri ukurasa unaotumika kutoa maelezo ya msingi ya bidhaa pepe.
207 Mabadiliko katika ukurasa huu yataathiri mwonekano mzima wa viungo vya watumiaji wengine.
208 Kwa lengo la kutaka kutafsiri, tafadhali fikiria kutumia [http://translatewiki.net/wiki/Main_Page?setlang=en Betawiki], kwa kuweka miradi ya MediaWiki kwa kienyeji.",
209 'sqlhidden' => '(maulizo ya SQL yamefichwa)',
210
211 # Login and logout pages
212 'welcomecreation' => '== Karibu, $1! ==
213 Ushafunguliwa akaunti yako tayari.
214 Usisahau kubadilisha mapendekezo yako ya [[Special:Preferences|{{SITENAME}}]].',
215 'loginpagetitle' => 'Kuingia kwa watumiaji',
216 'yourname' => 'Jina la mtumiaji:',
217 'yourpassword' => 'Nywila',
218 'yourpasswordagain' => 'Andika tena neno la siri',
219 'remembermypassword' => 'Nikumbuke katika tarakilishi hii',
220 'yourdomainname' => 'Tovuti yako:',
221 'externaldberror' => 'Huenda kulikuwa na hitilafu ya database au labda hauruhusiwi kubadilisha akaunti yako ya nje.',
222 'login' => 'Ingia',
223 'nav-login-createaccount' => 'Ingia/ sajili akaunti',
224 'loginprompt' => 'Lazima kompyuta yako ipokee kuki ili uweze kuingia kwenye {{SITENAME}}.',
225 'userlogin' => 'Ingia/ sajili akaunti',
226 'logout' => 'Toka',
227 'userlogout' => 'Toka',
228 'notloggedin' => 'Hujajiandikisha',
229 'nologin' => 'Huna akaunti ya kuingilia? $1',
230 'nologinlink' => 'Sajili akaunti',
231 'createaccount' => 'Sajili akaunti',
232 'gotaccount' => 'Unayo akaunti tayari? $1',
233 'gotaccountlink' => 'Ingia',
234 'createaccountmail' => 'Kwa barua pepe',
235 'badretype' => 'Maneno uliyoyaandika ni tofauti.',
236 'userexists' => 'Jina la mtumiaji uliloingiza tayari linatumika.
237 Tafadhali chagua jina lingine.',
238 'youremail' => 'Barua pepe yako:',
239 'username' => 'Jina la mtumiaji:',
240 'uid' => 'Namba ya mtumiaji:',
241 'prefs-memberingroups' => 'Mwanachama wa {{PLURAL:$1|group|makundi}}:',
242 'yourrealname' => 'Jina lako halisi:',
243 'yourlanguage' => 'Lugha:',
244 'yourvariant' => 'Mbalimbali:',
245 'yournick' => 'Sahihi:',
246 'badsig' => 'Umeweka sahihi batili.
247 Angalia mabano ya HTML.',
248 'badsiglength' => 'Sahihi uliyoweka ni ndefu mno.
249 Inatakiwa iwe chini ya $1 {{PLURAL:$1|character|tarakimu}}.',
250 'email' => 'Barua pepe',
251 'prefs-help-realname' => 'Jina la kweli si lazima. Ukichagua kutaja jina lako hapa, litatumiwa kuonyesha kwamba ndiyo ulifanya kazi unayochangia.',
252 'loginerror' => 'Kosa la kuingia',
253 'prefs-help-email' => 'Barua pepe sio lazima, lakini inawezesha kupokea nywila mpya kwa kupitia barua pepe yako endapo utakuwa umeisahau.
254 Pia unaweza kuchagua kuacha watumiaji wengine kuwasiliana nao kwa kutumia ukurasa wako wa mtumiaji au ule wa majadiliano bila ya kuonyesha jina la akaunti yako.',
255 'prefs-help-email-required' => 'Barua pepe inahitajika.',
256 'nocookiesnew' => "Umesajiliwa, lakini bado hujaingizwa. {{SITENAME}} inatumia ''kuki'' ili watumiaji waingizwe. Kompyuta yako inazuia ''kuki''. Tafadhali, ondoa kizuizi hicho uingie kwa kutumia jina mpya na neno la siri.",
257 'nocookieslogin' => '{{SITENAME}} inatumia kuki ili watumiaji waweze kuingia.
258 Kompyuta yako inakataa kupokea kuki.
259 Tafadhali, ondoa kizuizi hicho, baadaye jaribu tena.',
260 'noname' => 'Hauja dhihilisha jina la mtumiaji.',
261 'loginsuccesstitle' => 'Umefaulu kuingia',
262 'loginsuccess' => "'''Umeingia {{SITENAME}} kama \"\$1\".'''",
263 'nosuchuser' => 'Hakuna mtumiaji mwenye jina "$1". Labda umeandika vibaya, au [[Special:UserLogin/signup|sajili akaunti mpya]].',
264 'nosuchusershort' => 'Hakuna mtumiaji mwenye jina "<nowiki>$1</nowiki>". Labda umeandika vibaya.',
265 'nouserspecified' => 'Lazima uandike jina la mtumiaji.',
266 'wrongpassword' => 'Umeingiza nywila ya makosa. Jaribu tena.',
267 'wrongpasswordempty' => 'Nywila ilikuwa tupu. Jaribu tena.',
268 'passwordtooshort' => 'Nywila yako haifai. Ni lazima iwe na herufi $1 au zaidi, na inabidi nywila na jina la mtumiaji ziwe tofauti.',
269 'mailmypassword' => 'Nitume nywila kwa barua pepe',
270 'passwordremindertitle' => 'Nywila mpya ya muda kwa {{SITENAME}}',
271 'passwordremindertext' => 'Mtu mmoja (yamkini wewe, kutoka anwani ya IP $1)
272 ambaye ameulizia nywila mpya kwa {{SITENAME}} ($4).
273 Nywila kwa mtumiaji "$2" sasa ni "$3".
274 Inatakiwa uingie na ubadilishe nywila yako sasa.
275
276 Kama mtu mwingine ametoa ombi hili au kama umekumbuka nywila yako na
277 umeamua kutoibadilisha, unaweza kupuuza ujumbe huu na
278 endelea kutumia nywila yako ya awali.',
279 'noemail' => 'Hatuna anwani ya barua pepe kwa mtumiaji "$1".',
280 'passwordsent' => 'Neno mpya la siri limeshatumia kwenye anwani ya baruapepe ya "$1".
281 Tafadhali, ingia baada ya kulipokea.',
282 'blocked-mailpassword' => 'Anwani yako ya IP imezuiwa kuhariri {{SITENAME}}, kwa maana hiyo hairuhusiiswi kuumba nywila mpya kwa lengo la kulinda uharibifu.',
283 'eauthentsent' => 'Tumekutuma barua pepe ili kuhakikisha anwani yako.
284 Kabla ya kutuma barua pepe nyingine kwenye akaunti hiyo, itabidi ufuate maelezo katika barua utakayopokea,
285 kuthibitisha kwamba wewe ndiyo ni mwenye akaunti.',
286 'throttled-mailpassword' => 'Kikumbusho cha nywila tayari kimeshatumwa, ndani ya {{PLURAL:$1|hour|$1masaa}} kadhaa yaliyopita.
287 Ili kuzuiya uhuni, kiumbusho cha nywila kimoja pekee utakachotumiwa kwa {{PLURAL:$1|hour|$1 masaa}} kadhaa.',
288
289 # Edit page toolbar
290 'bold_sample' => 'Matini ya koze',
291 'bold_tip' => 'Matini ya koze',
292 'italic_sample' => 'Matini ya italiki',
293 'italic_tip' => 'Matini ya italiki',
294 'link_sample' => 'Jina la kiungo',
295 'link_tip' => 'Kiungo cha ndani',
296 'extlink_sample' => 'http://www.example.com jina la kiungo',
297 'extlink_tip' => 'Kiungo cha nje (kumbuka kuanza na http:// )',
298 'headline_sample' => 'Matini ya kichwa cha habari',
299 'headline_tip' => 'Kichwa cha habari, saizi 2',
300 'math_sample' => 'Ingiza formula hapa',
301 'math_tip' => 'Formula ya kihesabu (LaTeX)',
302 'nowiki_sample' => 'Weka matini bila fomati hapa',
303 'nowiki_tip' => 'Puuza fomati ya Wiki',
304 'image_tip' => 'Picha iliyotiwa',
305 'media_tip' => 'Kiungo cha faili ya picha, video, au sauti',
306 'sig_tip' => 'Sahihi yako na saa ya kusahihisha',
307 'hr_tip' => 'Mstari wa mlalo (usitumie ovyo)',
308
309 # Edit pages
310 'summary' => 'Muhtasari',
311 'subject' => 'Kuhusu/kichwa cha habari',
312 'minoredit' => 'Haya ni mabadiliko madogo',
313 'watchthis' => 'Fuatilia ukurasa huu',
314 'savearticle' => 'Hifadhi ukurasa',
315 'preview' => 'Hakikisha',
316 'showpreview' => 'Onyesha hakikisho la mabadiliko',
317 'showdiff' => 'Onyesha mabadiliko',
318 'anoneditwarning' => "'''Ilani:''' Wewe hujaingia rasmi kwenye tovuti. Anwani ya IP ya tarakilishi yako itahifadhiwa katika historia ya uhariri wa ukurasa huu.",
319 'summary-preview' => 'Hakikisho la muhtasari',
320 'blockedtext' => "<big>'''Jina lako la mtumiaji au anwani yako ya IP imezuiwa.'''</big>
321
322 Umezuiwa na $1. Sababu alitambua ni ''$2''
323
324 * Mwanzo wa uzuio: $8
325 * Mwisho wa uzuio: $6
326 * Aliyezuiwa: $7
327
328 Unaweza kuwasiliana na $1 au [[{{MediaWiki:Grouppage-sysop}}|mkabidhi]] kuzungumza uzuio.
329 Huwezi kutumia kipengele 'kumtuma mtumiaji barua pepe' ila anwani halisi ya barua pepe inapatikana katika
330 [[Special:Preferences|mapendekezo ya akaunti]] yako na hujazuiwa kuitumia.
331 Anwani yako ya IP ni $3, na namba ya uzuio ni #$5. Tafadhali taja namba hizi ukitaka kuwasiliana kuhusu uzuio huu.",
332 'loginreqtitle' => 'Unatakiwa kuingia au kujisajili',
333 'accmailtitle' => 'Neno la siri limeshakutumia.',
334 'accmailtext' => "Neno la siri la '$1' limeshatumwa kwa $2.",
335 'newarticle' => '(Mpya)',
336 'newarticletext' => "Ukurasa unaotaka haujaandikwa bado. Ukipenda unaweza kuuandika wewe mwenyewe kwa kutumia sanduku la hapa chini (tazama [[{{MediaWiki:Helppage}}|Mwongozo]] kwa maelezo zaidi). Ukifika hapa kwa makosa, bofya kibonyezi '''back''' (nyuma) cha programu yako.",
337 'noarticletext' => 'Ukurasa huu haujaandikwa bado. [[Special:Search/{{PAGENAME}}|tafutia jina hili]] katika kurasa nyingine au [{{fullurl:{{FULLPAGENAME}}|action=edit}} hariri ukurasa huu].',
338 'previewnote' => '<strong>Hii ni hakikisho tu; mabadiliko hayajahifadhiwa bado!</strong>',
339 'editing' => 'Kuhariri $1',
340 'editingsection' => 'Unahariri $1 (kipande)',
341 'yourtext' => 'Maandishi yako',
342 'editingold' => '<strong>ANGALIA: Unakuwa unahariri nakala ya zamani ya ukurasa huu.
343 Ukiendelea kuihariri, mabadilisho yote yaliyofanywa tangu pale yatapotezwa.</strong>',
344 'copyrightwarning' => 'Tafadhali zingatia kwamba makala yote ya {{SITENAME}} unayoyaandika yanafuata $2 (tazama $1 kwa maelezo zaidi).
345 Usipotaka maandishi yako yaweze kuharirishwa bure na kutolewa wakati wowote, basi usiyaandike hapa.<br />
346 Unakuwa unaahidi kwamba maandishi unayoyaingia ni yako tu, au uliyapata kutoka bure au ni mali ya watu wote. <strong>USITOLEE MAKALA YALIYOHIFADHIWA HAKI ZAO ZA KUTUMIWA BILA KUPATA RUHUSA HALALI!</strong>',
347 'longpagewarning' => '<strong>ILANI: Urefu wa ukurasa huu ni kilobaiti $1; vivinjari kadhaa vinaweza kuwa na matatizo ukihariri ukurasa wenye urefu zaidi ya kb 32 hivi.
348 Tafadhali fikiria kuhusu kuvunja ukurasa kwa vipande vifupi.</strong>',
349 'protectedpagewarning' => '<strong>ANGALIA: Ukurasa huu unakingwa kwa hiyo watumiaji wenye haki za wasimamizi tu wanaweza kuuhariri. Hakikisha kwamba unakuwa unafuata mwongozo wa kuhariri kurasa zinazokingwa.<strong>',
350 'templatesused' => 'Vigezo vinavyotumiwa kwenye ukurasa huu:',
351 'templatesusedpreview' => 'Vigezo vinavyotumiwa katika mandhari haya:',
352 'template-protected' => '(kulindwa)',
353 'template-semiprotected' => '(ulindaji kwa kiasi)',
354 'nocreatetext' => '{{SITENAME}} imebana uwezekano kutengeneza kurasa mpya. Unaweza kurudia na kuhariri kurasa zilizomo, au [[Special:UserLogin|ingia au anza akaunti]].',
355 'nocreate-loggedin' => 'Huna ruhusa ya kuazisha kurasa mpya.',
356 'recreate-deleted-warn' => "'''Ilani: Unatengeneza tena ukurasa uliofutwa tayari.'''
357
358 Fikiria kama inafaa kuendelea kuhariri ukurasa huu.
359 Kumbukumbu ya kufuta ukurasa huu linapatikana hapa kukusaidia:",
360
361 # History pages
362 'viewpagelogs' => 'Tazama kumbukumbu kwa ukurasa huu',
363 'currentrev' => 'Kiungo cha daima',
364 'revisionasof' => 'Sahihisho kutoka $1',
365 'revision-info' => 'Sahihisho kutoka $1 na $2', # Additionally available: $3: revision id
366 'previousrevision' => '←Sahihisho lililotangulia',
367 'nextrevision' => 'Sahihisho mpya zaidi?',
368 'currentrevisionlink' => 'Sahahisho ya sasa hivi',
369 'cur' => 'sasa',
370 'last' => 'kabla',
371 'page_first' => 'ya kwanza',
372 'page_last' => 'ya mwisho',
373 'histlegend' => 'Chagua tofauti: tia alama katika vitufe redio kulinganisha matoleo, na bonyeza "enter" au kitufe hapo chini.<br />
374 Ufunguo: (sasa) = tofauti na toleo la sasa, (kabla) = tofauti na toleo lililotangulia, D = mabadiliko maDogo.',
375 'histfirst' => 'Mwanzoni',
376 'histlast' => 'Mwishoni',
377
378 # Revision feed
379 'history-feed-item-nocomment' => '$1 kwenye $2', # user at time
380
381 # Diffs
382 'history-title' => 'Historia ya masahihisho ya "$1"',
383 'difference' => '(Tofauti baina ya masahihisho)',
384 'lineno' => 'Mstari $1:',
385 'compareselectedversions' => 'Linganisha matoleo mawili uliyochagua',
386 'editundo' => 'tengua',
387 'diff-multi' => '(Hatuonyeshi {{PLURAL:$1|sahihisho moja la katikati|masahihisho $1 ya katikati}}.)',
388
389 # Search results
390 'noexactmatch' => "'''Hakuna ukurasa wenye jina \"\$1\".''' Unaweza [[:\$1|kuanza ukurasa huu]].",
391 'prevn' => '$1 iliyotangulia',
392 'nextn' => '$1 ijayo',
393 'viewprevnext' => 'Tazama ($1) ($2) ($3)',
394 'searchhelp-url' => 'Help:Yaliyomo',
395 'powersearch' => 'Tafuta',
396
397 # Preferences page
398 'preferences' => 'Mapendekezo',
399 'mypreferences' => 'Mapendekezo yangu',
400 'changepassword' => 'Badilisha neno la siri',
401 'skin' => 'Sura',
402 'oldpassword' => 'Neno la siri la zamani',
403 'newpassword' => 'Neno mpya la siri',
404 'retypenew' => 'Andika nywila tena:',
405
406 'grouppage-sysop' => '{{ns:project}}:Wakabidhi',
407
408 # User rights log
409 'rightslog' => 'Kumbukumbu ya vyeo vya watumiaji',
410
411 # Recent changes
412 'nchanges' => '{{PLURAL:$1|badiliko|mabadiliko}} $1',
413 'recentchanges' => 'Mabadiliko ya karibuni',
414 'recentchanges-feed-description' => 'Tumia tawanyiko hili kufuatilia mabadiliko yote ya hivi karibuni katika Wiki.',
415 'rcnote' => "Yanayofuata {{PLURAL:$1|ni badiliko '''1'''|ni mabadiliko '''$1''' ya mwisho}} kutoka katika {{PLURAL:$2|siku iliyopita|siku '''$2''' zilizopita}}, hadi $3.",
416 'rcnotefrom' => "Hapo chini yaonekana mabadiliko tangu '''$2''' (tunaonyesha hadi '''$1''').",
417 'rclistfrom' => 'Onyesha mabadiliko mapya kuanzia $1',
418 'rcshowhideminor' => '$1 mabadiliko madogo',
419 'rcshowhidebots' => '$1 roboti',
420 'rcshowhideliu' => '$1 watumiaji sasa',
421 'rcshowhideanons' => '$1 watumiaji bila majina',
422 'rcshowhidepatr' => '$1 masahihisho yanayofanywa doria',
423 'rcshowhidemine' => '$1 masahihisho zangu',
424 'rclinks' => 'Onyesha mabadiliko $1 yaliyofanywa wakati wa siku $2 zilizopita<br />$3',
425 'diff' => 'tofauti',
426 'hist' => 'hist',
427 'hide' => 'Ficha',
428 'show' => 'Onyesha',
429 'minoreditletter' => 'd',
430 'newpageletter' => 'P',
431 'boteditletter' => 'r',
432
433 # Recent changes linked
434 'recentchangeslinked' => 'Mabadiliko husika',
435 'recentchangeslinked-title' => 'Mabadiliko kuhusiana na "$1"',
436 'recentchangeslinked-noresult' => 'Hakuna mabadiliko kwenye kurasa zilizounganishwa wakati wa muda huo.',
437 'recentchangeslinked-summary' => "Ukurasa maalum huu unaorodhesha mabadiliko ya mwisho katika kurasa zinazoungwa. Kurasa katika maangalizi yako ni za '''koze'''.",
438
439 # Upload
440 'upload' => 'Pakia faili',
441 'uploadbtn' => 'Pakia faili',
442 'uploadlogpage' => 'Kumbukumbu ya upakiaji',
443 'filedesc' => 'Muhtasari',
444 'ignorewarning' => 'Hifadhi bila kujali maonyo yoyote.',
445 'uploadedimage' => ' "[[$1]]" imepakiwa',
446
447 'license' => 'Hatimiliki:',
448
449 # Special:FileList
450 'imagelist' => 'Orodha ya mafaili',
451
452 # File description page
453 'filehist' => 'Historia ya faili',
454 'filehist-help' => 'Bonyeza tarehe/saa kuona faili kama ilivyoonekana wakati huo.',
455 'filehist-current' => 'sasa hivi',
456 'filehist-datetime' => 'Tarehe/Saa',
457 'filehist-user' => 'Mtumiaji',
458 'filehist-dimensions' => 'Vipimo',
459 'filehist-filesize' => 'Ukubwa wa faili',
460 'filehist-comment' => 'Maoni',
461 'imagelinks' => 'Viungo',
462 'linkstoimage' => 'Kurasa hizi zimeunganishwa na faili hili:',
463 'nolinkstoimage' => 'Hakuna kurasa zozote zilizounganishwa na faili hii.',
464 'sharedupload' => 'Faili hii inaweza kushirikiwa na miradi mingine.',
465 'noimage' => 'Hakuna faili yenye jina hili, $1 kama unayo.',
466 'noimage-linktext' => 'pakia picha',
467 'uploadnewversion-linktext' => 'Pakia toleo jipya la faili hii',
468
469 # MIME search
470 'mimesearch' => 'Utafutaji wa MIME',
471
472 # List redirects
473 'listredirects' => 'Maelekezo',
474
475 # Unused templates
476 'unusedtemplates' => 'Vigezo ambavyo havitumiwi',
477
478 # Random page
479 'randompage' => 'Ukurasa wa bahati',
480
481 # Random redirect
482 'randomredirect' => 'Elekezo la bahati',
483
484 # Statistics
485 'statistics' => 'Takwimu',
486 'statistics-header-users' => 'Takwimu za watumiaji',
487
488 'disambiguations' => 'Kurasa za kuainisha maneno',
489
490 'doubleredirects' => 'Maelekezo mawilimawili',
491
492 'brokenredirects' => 'Maelekezo yenye hitilafu',
493
494 'withoutinterwiki' => 'Kurasa bila viungo kwenye lugha nyingine',
495
496 'fewestrevisions' => 'Kurasa zenye masahihisho machache kuliko zote',
497
498 # Miscellaneous special pages
499 'nbytes' => '{{PLURAL:$1|baiti|baiti}} $1',
500 'nlinks' => '{{PLURAL:$1|kiungo|viungo}} $1',
501 'nmembers' => '{{PLURAL:$1|mtumiaji|watumiaji}} $1',
502 'lonelypages' => 'Kurasa ambazo haziungwi kutoka ukurasa mwingine wowote',
503 'uncategorizedpages' => 'Kurasa ambazo hazijawekwa katika jamii',
504 'uncategorizedcategories' => 'Jamii ambazo hazijawekwa katika jamii',
505 'uncategorizedimages' => 'Picha ambazo hazijawekwa katika jamii',
506 'uncategorizedtemplates' => 'Vigezo ambavyo havijawekwa katika jamii',
507 'unusedcategories' => 'Jamii ambazo hazitumiwi',
508 'unusedimages' => 'Mafaili ambayo hayatumiwi',
509 'wantedcategories' => 'Jamii zinazotakiwa',
510 'wantedpages' => 'Kurasa zinazotakiwa',
511 'mostlinked' => 'Kurasa zinazoungwa kuliko zote',
512 'mostlinkedcategories' => 'Jamii zinazoungwa kuliko zote',
513 'mostlinkedtemplates' => 'Vigezo vinavyoungwa kuliko zote',
514 'mostcategories' => 'Jamii ambazo hazitumiwi',
515 'mostimages' => 'Picha zinazoungwa kuliko zote',
516 'mostrevisions' => 'Kurasa zenye masahihisho mengi kuliko zote',
517 'prefixindex' => 'Kielezo cha viambishi awali',
518 'shortpages' => 'Kurasa fupi',
519 'longpages' => 'Kurasa ndefu',
520 'deadendpages' => 'Kurasa ambazo haziungi na ukurasa mwingine wowote',
521 'protectedpages' => 'Kurasa zinazolindwa',
522 'listusers' => 'Orodha ya Watumiaji',
523 'newpages' => 'Kurasa mpya',
524 'ancientpages' => 'Kurasa za kale',
525 'move' => 'Sogeza',
526 'movethispage' => 'Sogeza ukurasa huu',
527
528 # Book sources
529 'booksources' => 'Vyanzo vya vitabu',
530
531 # Special:Log
532 'specialloguserlabel' => 'Mtumiaji:',
533 'speciallogtitlelabel' => 'Kichwa:',
534 'log' => 'Kumbukumbu',
535 'all-logs-page' => 'Kumbukumbu zote',
536
537 # Special:AllPages
538 'allpages' => 'Kurasa zote',
539 'alphaindexline' => '$1 hadi $2',
540 'nextpage' => 'Ukurasa ujao ($1)',
541 'prevpage' => 'Ukurasa uliotangulia ($1)',
542 'allpagesfrom' => 'Onyesha kurasa zinazoanza kutoka:',
543 'allarticles' => 'Kurasa zote',
544 'allpagessubmit' => 'Nenda',
545 'allpagesprefix' => 'Onyesha kurasa zenye kiambishi awali:',
546
547 # Special:Categories
548 'categories' => 'Jamii',
549
550 # E-mail user
551 'emailuser' => 'Mtumie mtumiaji huyu barua pepe',
552
553 # Watchlist
554 'watchlist' => 'Maangalizi yangu',
555 'mywatchlist' => 'Maangalizi yangu',
556 'watchlistfor' => "(kwa '''$1''')",
557 'addedwatch' => 'Imeongezwa kwenye maangalizi yako',
558 'addedwatchtext' => "Ukurasa \"[[:\$1]]\" umewekwa kwenye [[Special:Watchlist|maangalizi]] yako.
559 Mabadiliko katika ukurasa huo na ukurasa wake wa majadiliano utaonekana hapo,
560 na ukurasa utaonyeshwa wenye '''koze''' kwenye [[Special:RecentChanges|orodha ya mabadiliko ya karibuni]]
561 ili kukusaidia kutambua.
562
563 Ukitaka kufuta ukurasa huo kutoka maangalizi yako baadaye, bonyeza \"Acha kufuatilia\" katika mwamba pembeni.",
564 'removedwatch' => 'Imefutwa kutoka maangalizi yako',
565 'removedwatchtext' => 'Ukurasa "[[:$1]]" umefutwa kutoka maangalizi yako.',
566 'watch' => 'Fuatilia',
567 'watchthispage' => 'Fuatilia ukurasa huu',
568 'unwatch' => 'Acha kufuatilia',
569 'watchlist-details' => 'Unafuatilia {{PLURAL:$1|ukurasa $1|kurasa $1}} bila kuzingatia kurasa za majadiliano',
570 'wlshowlast' => 'Onyesha kutoka masaa $1 siku $2 $3',
571
572 # Displayed when you click the "watch" button and it is in the process of watching
573 'watching' => 'Unafuatilia...',
574 'unwatching' => 'Umeacha kufuatilia...',
575
576 # Delete
577 'deletepage' => 'Futa ukurasa',
578 'historywarning' => 'Ilani: Ukurasa unaotaka kufuta una historia yake:',
579 'confirmdeletetext' => 'Wewe unategemea kufuta ukurasa pamoja na historia yake yote.
580 Tafadhali hakikisha kwamba unalenga kufanya hivyo, na kwamba unaelewa matokeo yake, na kwamba unafuata [[{{MediaWiki:Policy-url}}|sera]].',
581 'actioncomplete' => 'Kitendo kimekwisha',
582 'deletedtext' => '"<nowiki>$1</nowiki>" imefutwa. Ona $2 kwa historia ya kurasa zilizofutwa hivi karibuni.',
583 'deletedarticle' => '"[[$1]]" ilifutwa',
584 'dellogpage' => 'Kumbukumbu ya ufutaji',
585 'deletecomment' => 'Sababu ya kufuta',
586 'deleteotherreason' => 'Sababu nyingine:',
587 'deletereasonotherlist' => 'Sababu nyingine',
588
589 # Rollback
590 'rollbacklink' => 'rejesha',
591
592 # Protect
593 'protectlogpage' => 'Kumbukumbu ya ulindaji',
594 'prot_1movedto2' => '[[$1]] umesogezwa hapa [[$2]]',
595 'protect-legend' => 'Hakikisha ukingo',
596 'protectcomment' => 'Maoni:',
597 'protectexpiry' => 'Itakwisha:',
598 'protect_expiry_invalid' => 'Muda wa kwisha ni batilifu.',
599 'protect_expiry_old' => 'Muda wa kuishi umepita tayari.',
600 'protect-unchain' => 'Fungua ruhusa za kusogeza',
601 'protect-text' => 'Unaweza kutazama na kubadilisha kiwango cha ulindaji hapa kwa ukurasa <strong><nowiki>$1</nowiki></strong>.',
602 'protect-locked-access' => 'Akaunti yako hairuhusiwi kubadilisha viwango vya ulindaji.
603 Hivi ni vipimo kwa ukurasa <strong>$1</strong>:',
604 'protect-cascadeon' => 'Ukurasa huu umelindwa kwa sababu umezingatiwa katika {{PLURAL:$1|ukurasa $1 unaolinda kurasa chini yake|kurasa $1 zinazolinda kurasa chini yake}}. Unaweza kubadilisha kiwango cha ulindaji wa ukurasa huu, lakini hutaathirika ulindaji kutoka kurasa juu yake.',
605 'protect-default' => '(chaguo-msingi)',
606 'protect-fallback' => 'Lazimisha ruhusa "$1"',
607 'protect-level-autoconfirmed' => 'Zuia watumiaji ambao hawajajisajilisha',
608 'protect-level-sysop' => 'Wakabidhi tu',
609 'protect-summary-cascade' => 'ulindaji kwa kurasa chini yake',
610 'protect-expiring' => 'itakwisha $1 (UTC)',
611 'protect-cascade' => 'Linda kurasa zinazozingatiwa chini ya ukurasa huu',
612 'protect-cantedit' => 'Huwezi kubadilisha kiwango cha ulindaji wa ukurasa huu, kwa sababu huruhusiwi kuuhariri.',
613 'protect-expiry-options' => 'Masaa 2:2 hours,siku 1:1 day,siku 3:3 days,wiki 1:1 week,wiki 2:2 weeks,mwezi 1:1 month,miezi 3:3 months,miezi 6:6 months,mwaka 1:1 year,milele:infinite', # display1:time1,display2:time2,...
614 'restriction-type' => 'Ruhusa:',
615 'restriction-level' => 'Kiwango cha kizuio:',
616
617 # Undelete
618 'undeletebtn' => 'Rudisha',
619
620 # Namespace form on various pages
621 'namespace' => 'Eneo la majina:',
622 'invert' => 'Geuza uteuzi',
623 'blanknamespace' => '(Kuu)',
624
625 # Contributions
626 'contributions' => 'Michango ya watumiaji',
627 'mycontris' => 'Michango yangu',
628 'contribsub2' => 'Kwa $1 ($2)',
629 'uctop' => '(juu)',
630 'month' => 'Kutoka mwezi (na zamani zaidi):',
631 'year' => 'Kutoka mwakani (na zamani zaidi):',
632
633 'sp-contributions-newbies-sub' => 'Kwa akaunti mpya',
634 'sp-contributions-blocklog' => 'Kumbukumbu ya uzuio',
635
636 # What links here
637 'whatlinkshere' => 'Viungo viungacho ukurasa huu',
638 'whatlinkshere-title' => 'Kurasa zilizounganishwa na $1',
639 'linkshere' => "Kurasa zifuatazo zimeunganishwa na '''[[:$1]]''':",
640 'nolinkshere' => "Hakuna kurasa zilizounganishwa na '''[[:$1]]'''.",
641 'isredirect' => 'elekeza ukurasa',
642 'istemplate' => 'jumuisho',
643 'whatlinkshere-prev' => '{{PLURAL:$1|uliotangulia|$1 zilizotangulia}}',
644 'whatlinkshere-next' => '{{PLURAL:$1|ujao|$1 zijazo}}',
645 'whatlinkshere-links' => '? viungo',
646
647 # Block/unblock
648 'blockip' => 'Zuia mtumiaji',
649 'ipboptions' => 'Masaa 2:2 hours,siku 1:1 day,siku 3:3 days,wiki 1:1 week,wiki 2:2 weeks,mwezi 1:1 month,miezi 3:3 months,miezi 6:6 months,mwaka 1:1 year,milele:infinite', # display1:time1,display2:time2,...
650 'ipblocklist' => 'Orodha ya anwani za IP na majina ya watumiaji kuzuiwa',
651 'blocklink' => 'zuia',
652 'unblocklink' => 'acha kuzuia',
653 'contribslink' => 'michango',
654 'blocklogpage' => 'Kumbukumbu ya uzuio',
655 'blocklogentry' => '[[$1]] imezuiwa mpaka $2 $3',
656
657 # Move page
658 'move-page-legend' => 'Sogeza ukurasa',
659 'movepagetext' => "Tumia fomu hapo chini itabadilisha jina la ukurasa, na itahamisha historia yake yote katika jina jipya lile lile.
660 Jina la awali litahamishwa na kuelekezwa katika mahali pa jina jipya.
661 Viungo vilivyounganishwa na ukurasa wa awali havitabadilishwa;
662 tafadhali tafutia maelekezo yenye hitilafu na maelekezo mawilimawili.
663 Wewe una madaraka kuhakikisha kwamba viungo viendelee kuelekea vinapolengwa.
664
665 Uwe mwangalifu kwamba ukurasa '''hautahamishwa''' kama tayari kuna ukurasa wenye jina jipya, ila ni tupu au ni maelekezo na hauna historia ya kuhaririwa.
666 Yaani unaweza kurudisha ukurasa kwenye jina la awali ukikosa, na haiwezekani kufuta ukurasa mwingine kwa nasibu.
667
668 '''ILANI!'''
669 Kuhamisha ukurasa wenye wasomaji wengi kunaweza kuathirika watumiaji wetu.
670 Tafadhali hakikisha kwamba unaelewa matokeo ya kitendo hiki kabla ya kuendelea.",
671 'movepagetalktext' => "Ukurasa wa majadiliano wa ukurasa huu utasogezwa pamoja yake
672 '''ila:'''
673 *tayari kuna ukurasa wa majadiliano (usiyo tupu) kwenye jina jipya, au
674 *ukifuta tiki katika kisanduku hapa chini.
675
676 Kama tayari kuna ukurasa au ukifuta tiki, itabidi usogeze au uunganishe ukurasa kwa mkono ukitaka.",
677 'movearticle' => "Ukurasa wa majadiliano wa ukurasa huu utasogezwa pamoja yake '''ila:'''
678 *tayari kuna ukurasa wa majadiliano (usiyo tupu) kwenye jina jipya, au
679 *ukifuta tiki katika kisanduku hapa chini.
680
681 Kama tayari kuna ukurasa au ukifuta tiki, itabidi usogeze au uunganishe ukurasa kwa mkono ukitaka.",
682 'newtitle' => 'Kuelekeza jina jipya:',
683 'move-watch' => 'Fuatilia ukurasa huu',
684 'movepagebtn' => 'Sogeza ukurasa',
685 'pagemovedsub' => 'Umefaulu kusogeza ukurasa',
686 'articleexists' => 'Tayari kuna ukurasa wenye jina hilo, au
687 jina ulilochagua ni batilifu.
688 Chagua jina lengine.',
689 'talkexists' => "'''Ukurasa wenyewe ulisogezwa salama, lakini ukurasa wake wa majadiliano haujasogezwa kwa sababu tayari kuna ukurasa wenye jina lake. Tafadhali ziunganishe kwa mkono.'''",
690 'movedto' => 'imesogezwa hadi',
691 'movetalk' => 'Sogeza ukurasa wake wa majadiliano',
692 '1movedto2' => '[[$1]] umesogezwa hapa [[$2]]',
693 'movelogpage' => 'Kumbukumbu ya uhamiaji',
694 'movereason' => 'Sababu:',
695 'revertmove' => 'rejesha',
696
697 # Export
698 'export' => 'Hamisha kurasa',
699
700 # Namespace 8 related
701 'allmessages' => 'Ujumbe za mfumo',
702
703 # Thumbnails
704 'thumbnail-more' => 'Kuza',
705 'thumbnail_error' => 'Hitilafu kutengeneza picha ndogo: $1',
706
707 # Import log
708 'importlogpage' => 'Kumbukumbu ya kuingizwa',
709
710 # Tooltip help for the actions
711 'tooltip-pt-userpage' => 'Ukurasa wangu',
712 'tooltip-pt-mytalk' => 'Majadiliano yangu',
713 'tooltip-pt-preferences' => 'Mapendekezo yangu',
714 'tooltip-pt-watchlist' => 'Orodha ya kurasa unazofuatilia kwa mabadiliko',
715 'tooltip-pt-mycontris' => 'Orodha ya michango yangu',
716 'tooltip-pt-login' => 'Tunakushajisha kuingia, lakini siyo lazima.',
717 'tooltip-pt-logout' => 'Toka',
718 'tooltip-ca-talk' => 'Mazungumzo kuhusu makala',
719 'tooltip-ca-edit' => 'Unaweza kuhariri ukurasa huu. Tafadhali tumia kitufe cha kuhakikisha kabla ya kuhifadhi.',
720 'tooltip-ca-addsection' => 'Weka maoni yako kwenye majadiliano haya.',
721 'tooltip-ca-viewsource' => 'Ukurasa huu umelindwa. Unaweza kutazama chanzo chake.',
722 'tooltip-ca-protect' => 'Linda ukurasa huu',
723 'tooltip-ca-delete' => 'Futa ukurasa huu',
724 'tooltip-ca-move' => 'Sogeza ukurasa huu',
725 'tooltip-ca-watch' => 'Fuatilia ukurasa huu kwenye maangalizi yako',
726 'tooltip-ca-unwatch' => 'Futa ukurasa huu kutoka maangalizi yako',
727 'tooltip-search' => 'Tafuta {{SITENAME}}',
728 'tooltip-n-mainpage' => 'Tembelea Mwanzo',
729 'tooltip-n-portal' => 'Kuhusu mradi, mambo unaweza kufanya, na mahali pa kugundua vitu',
730 'tooltip-n-currentevents' => 'Maarifa kuhusu habari za siku hizi',
731 'tooltip-n-recentchanges' => 'Orodha ya mabadiliko ya hivi karibuni katika Wiki.',
732 'tooltip-n-randompage' => 'Onyesha ukurasa wa bahati',
733 'tooltip-n-help' => 'Mahali pa kueleweshwa.',
734 'tooltip-t-whatlinkshere' => 'Orodha ya kurasa zote za Wiki zilizounganishwa na ukurasa huu',
735 'tooltip-t-contributions' => 'Tazama orodha ya michango kwa mtumiaji huyu',
736 'tooltip-t-emailuser' => 'Mtumie mtumiaji huyu barua pepe',
737 'tooltip-t-upload' => 'Pakia picha, video, au sauti',
738 'tooltip-t-specialpages' => 'Orodha ya kurasa maalum zote',
739 'tooltip-ca-nstab-user' => 'Tazama ukurasa wa mtumiaji',
740 'tooltip-ca-nstab-project' => 'Tazama ukurasa wa mradi',
741 'tooltip-ca-nstab-image' => 'Angalia ukurasa wa picha',
742 'tooltip-ca-nstab-template' => 'Tazama kigezo',
743 'tooltip-ca-nstab-help' => 'Tazama ukurasa wa msaada',
744 'tooltip-ca-nstab-category' => 'Tazama ukurasa wa jamii',
745 'tooltip-minoredit' => 'Tia alama kwamba hii ni badiliko dogo',
746 'tooltip-save' => 'Hifadhi mabadiliko yako',
747 'tooltip-preview' => 'Hakikisha mabadiliko yako, tafadhali fanya kabla ya kuhifadhi!',
748 'tooltip-diff' => 'Onyesha mabadiliko uliyofanya kwenye makala.',
749 'tooltip-compareselectedversions' => 'Tazama tofauti baina ya matoleo mawili uliochagua ya ukurasa huu.',
750 'tooltip-watch' => 'Fuatilia ukurasa huu kwenye maangalizi yako',
751
752 # Attribution
753 'siteuser' => '{{SITENAME}} mtumiaji $1',
754
755 # Browsing diffs
756 'previousdiff' => '←Tofauti kabla',
757 'nextdiff' => 'Tofauti ijayo→',
758
759 # Media information
760 'file-info-size' => '(piseli $1 × $2, saizi ya faili: $3, aina ya MIME: $4)',
761 'file-nohires' => '<small>Hakuna saizi kubwa zaidi.</small>',
762 'svg-long-desc' => '(faili ya SVG, husemwa kuwa piseli $1 × $2, saizi ya faili: $3)',
763 'show-big-image' => 'Ukubwa wa awali',
764 'show-big-image-thumb' => '<small>Ukubwa wa hakikisho hili: piseli $1 x $2</small>',
765
766 # Special:NewFiles
767 'newimages' => 'Mkusanyiko wa faili jipya',
768
769 # Bad image list
770 'bad_image_list' => 'Fomati ni hii:
771
772 Tunazingatia madondoo katika orodha (mistari inayoanza na *) tu. Inabidi kiungo cha kwanza katika mstari kiunge na picha mbaya.
773 Viungo vinavyofuata katika mstari ule ule vitaelewa kuwa mambo ya pekee, yaani kurasa zinazoruhusiwa kuonyesha picha hiyo.',
774
775 # Metadata
776 'metadata' => 'Data juu',
777 'metadata-help' => 'Faili hiil lina maarifa mengine, yamkini kutoka kemra au skana iliyotumiwa kulitengeneza au kuliandaa kwa tarakilishi. Kama faili imebadilishwa kutoka hali yake ya awali, inawezekana kwamba vipengele kadhaa vitakuwa tofauti kuliko hali ya picha sasa.',
778 'metadata-expand' => 'Onyesha maarifa vinaganaga',
779 'metadata-collapse' => 'Ficha maarifa vinaganaga',
780 'metadata-fields' => 'Nyuga za data juu za EXIF zinazoorodheshwa katika ujumbe huu
781 utazingatiwa kwenye ukurasa wa picha wakati jedwali la data juu
782 likifupishwa. Nyuga zingine zitafichwa kama chaguo-msingi.
783 * make
784 * model
785 * datetimeoriginal
786 * exposuretime
787 * fnumber
788 * focallength', # Do not translate list items
789
790 # External editor support
791 'edit-externally' => 'Tumia programu ya nje kuhariri faili hii',
792 'edit-externally-help' => 'Ona [http://www.mediawiki.org/wiki/Manual:External_editors maelezo (kwa Kiingereza)] kwa maarifa mengine.',
793
794 # 'all' in various places, this might be different for inflected languages
795 'watchlistall2' => 'zote',
796 'namespacesall' => 'zote',
797 'monthsall' => 'zote',
798
799 # Watchlist editing tools
800 'watchlisttools-view' => 'Tazama mabadiliko yanayohusiana',
801 'watchlisttools-edit' => 'Tazama na hariri maangalizi',
802 'watchlisttools-raw' => 'Hariri maangalizi ghafi',
803
804 # Special:Version
805 'version' => 'Toleo', # Not used as normal message but as header for the special page itself
806
807 # Special:SpecialPages
808 'specialpages' => 'Kurasa maalum',
809
810 );